Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aisee Anopheles oh sorry mosquito... sorry again, MBU!!! Mbona mnakuwa defensive mapema hivi hata january bado!!! Jamaa kauliza tu penati imepatikanaje??

Nilichoona mimi ni kwamba kuna diving competition between a few players... but its a good game and for sure Eduardo scored a fantastic penalty, soon after a fantastic dive

Go Arses Go... The Bean himself is enjoying a game

...hataki! si unawajua Chelsea hawa,.... ahoji pia goli la Eboue sasa 😀😀😀!
 
kwani shida iko wapi mkuu? kama arsenal wanajiangusha tukae kimya?! Au tujifanye "Wenger" tuseme hatujaona?! Hapakuwa na haja ya Eduardo kudive wakati mechi mlishashinda.

Soma katiba yao na slogan ndo utaelewa, its the gunners!!! So be ready for some missiles...
 
kwani shida iko wapi mkuu? kama arsenal wanajiangusha tukae kimya?! Au tujifanye "Wenger" tuseme hatujaona?! Hapakuwa na haja ya Eduardo kudive wakati mechi mlishashinda.

...ha ha ha 😀,...

Peasant ee, hebu nikumbushe lini tutakumbana kwenye EPL,...
 
Aisee Anopheles oh sorry mosquito... sorry again, MBU!!! Mbona mnakuwa defensive mapema hivi hata january bado!!! Jamaa kauliza tu penati imepatikanaje??

Nilichoona mimi ni kwamba kuna diving competition between a few players... but its a good game and for sure Eduardo scored a fantastic penalty, soon after a fantastic dive

Go Arses Go... The Bean himself is enjoying a game

........and he had guts to celebrate!! What a cheat!!
 
...te he he eeheee!

...bado hutaki tuuu? ushasahau Drogba ndio zake hizo.
Kwani matokeo ngapi ngapi mpaka sasa, hebu tujuze mzee Peasant waDarajani?
 
...hataki! si unawajua Chelsea hawa,.... ahoji pia goli la Eboue sasa 😀😀😀!

Mimi niko fair sana mkuu, goli la Eboue is pure class! Nimelipenda sana kwa taarifa yako. Hatuko hapa kubishana tu kwa kufuata mapenzi ya timu zetu, kwenye ukweli tutasema.
 
...aaaaah, acha jazba sasa...

Mkiwa mnachukia kirahisi rahisi hivi msimu utakuwa mchungu sana kwenu huu. Mbele ya Drogba, Eduardo is a Saint!

Umeliona goli la Arshavin?
 
...te he he eeheee!

...bado hutaki tuuu? ushasahau Drogba ndio zake hizo.
Kwani matokeo ngapi ngapi mpaka sasa, hebu tujuze mzee Peasant waDarajani?

Najua sana kwamba Drogba ana tabia hiyo, na inaniboa kinoma anapodive ukizingatia umbile lake ni kubwa.
Kwi kwi kwi score mbona iko wazi mkuu, 3-0 to Arsenal (5-0 Agg)
 
Sunday 29th November 16:00, Emirates....I can't wait for it!

PPRRrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!

turudi kwenye gemu, weka updates hapa mazee ili tuchangie gemu hayo ya mechi zijazo badae, wengine hapa bado tuna hangover ya kuchapwa homu bao tatu!!

Gademu!!
 
...Ooooh, nitakuwa Dar es salaam, huenda nikaangalizia gemu hiyo pale kwa Mkuu, -Chadibwa Beach!

Tunawapa kipondo huku nakula upepo mwanana wa bahari...😀 thanks mazee, naweka kwa kumbukumbu.
 
PPRRrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!

turudi kwenye gemu, weka updates hapa mazee ili tuchangie gemu hayo ya mechi zijazo badae, wengine hapa bado tuna hangover ya kuchapwa homu bao tatu!!

Gademu!!

'kazi na dawa', matokeo ni 3 - 0 tu mkubwa, (aggregate 5 - mtungi!)
 
Kudadadeki!!!

Mmewaonea, kwanza hao celtic hata miili yao iko kama maafisa ardhi pale mjini... cheki kipa anatembea kama kombe, huyo McGeady naona shingo pana utafikiri yule legal officer wa pale ardhi na hao midfielders utafikiri wale surveyors

Mastrikers ndio kama wale wanaoandika vocha za viwanja [tena vya mbweni]

Karibuni katika ligi ya mabingwa Arses, sorry you had to take route ya mchujo kama bongo star search

Hihihiiiii

😱
 
...aaaaah, acha jazba sasa...

Mkiwa mnachukia kirahisi rahisi hivi msimu utakuwa mchungu sana kwenu huu. Mbele ya Drogba, Eduardo is a Saint!

Umeliona goli la Arshavin?

Sina jazba mkuu labda lugha yangu tu ndiyo haiko funny, will try to do better next time. Football is all about enjoyment, I can take banter and dish out a few!
 
...haya sasa, tukiwafunga tumewaonea, tukiwaacha tumewaogopa. Hatuna jema tufanyalo?

Umemuona jamaa, nanihii... jina lake kama andazi kafunga goli la kufutia machozi? Scotland ni either Celtics au Rangers,... sio vibonde hawa.

Halafu lini Arsenal na Liverpool? mtatukoma safari hii..
Eqlypz na Belo mmesikia???

...You've been warned!!!
 
...aaaaah, acha jazba sasa...

Mkiwa mnachukia kirahisi rahisi hivi msimu utakuwa mchungu sana kwenu huu. Mbele ya Drogba, Eduardo is a Saint!

Umeliona goli la Arshavin?[/QUOTE]

Magoli yote mazuri (pamoja na Celtic) isipokuwa la Eduardo!
 
Sina jazba mkuu labda lugha yangu tu ndiyo haiko funny, will try to do better next time. Football is all about enjoyment, I can take banter and dish out a few!

...usijali bana, take it easy and sleep well.
 
Back
Top Bottom