Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wanagunner mechi inaanza kumi na moja au kumi na mbili kwa masaa ya kibongo maana 3pm UK Time yaweza kuwa na difference ya 2 au 3 hrs kutegemeana na msimu?
 
Wanagunner mechi inaanza kumi na moja au kumi na mbili kwa masaa ya kibongo maana 3pm UK Time yaweza kuwa na difference ya 2 au 3 hrs kutegemeana na msimu?
Kaka tayari tunaongoza kwa magoli mawili,yote yamefungwa na Abou Diaby..Tutawapiga mengi hawa jamaa aisee
 
Naona huyo dogo Diaby anaanza kutengenezwa vyema na Wenger. Dogo ana kila kitu - control, lishe, mbio n.k - ila chenga na uchoyo mwingi. He is meant to be a complete player, I think he is now getting there. Ngoja nikatafute Bar niangalie second half!
 
Wanagunner mechi inaanza kumi na moja au kumi na mbili kwa masaa ya kibongo maana 3pm UK Time yaweza kuwa na difference ya 2 au 3 hrs kutegemeana na msimu?
Aron Ramsey kafunga goli aisee,so twaongoza 4-1
 
Mwisho: 4-1
Mashetani wa Old Trafford naona nao wanasherehe ya mabao 5 kwa bila.
 
Mwisho: 4-1
Mashetani wa Old Trafford naona nao wanasherehe ya mabao 5 kwa bila.
Arsenal wamecheza vizuri sana leo,Aaron Ramsey kacheza vizuri sana,inaonesha atakuja kuziba pengo la Fabregas mbeleni(kaka ataendelea kuwepo Arsenal)..Vermaelen ni beki mzuri sana na anaonekana kuelewana vizur na Gallas.Tuombe Mungu timu icheze hivi hivi mpaka dakika ya mwisho(mwisho wa msimu)
 
Naona huyo dogo Diaby anaanza kutengenezwa vyema na Wenger. Dogo ana kila kitu - control, lishe, mbio n.k - ila chenga na uchoyo mwingi. He is meant to be a complete player, I think he is now getting there. Ngoja nikatafute Bar niangalie second half!
diaby uchoyo ndio kinachofanya achemshe kama ulikuwepo.
 
Halafu yuko slow sana,anacheza kwa kulegealegea sana mkuu
kweli kabisa uslow wake ndio unaharbu move nyingi tu.naona fabregas wenger aliamua tu kumpumzisha kwa vile alikuwa na injury ndogo.ni vizuri tunapoweza kushinda huku tume rotate wachezaji wetu inasaidia sana.
 
Abou-Diaby-Arsenal-Portsmouth-Premier-League-_2351175.jpg

Abou-Diaby-Arsenal-Portsmouth-Premier-League_2351187.jpg

William-Gallas-Arsenal-Portsmouth-Premier-Lea_2351218.jpg
 
masikhara haya jamani..Sagna,Clichy na Song subsitutes???
Mzee mzima alitaka wapumzike ili next week wawe fresh kwa ajili ya muziki wa Celtic Jumanne na Man U Jumamosi. Hongera Professor Wenger na trupu zima la 'ze gannaz'.
 
Hawa watoto wametangulia kwa baiskeli za miwa mbona! Njaa itawauma tu wakianza kupanda milima.
 
Back
Top Bottom