Arsenal vs Chelsea

Haya tupe mtejesho sasa nin kimeikmba forward line ya lacazete na mwenzake aubemeyang
 
Kweli wewe ni mchambuzi mzuri sana, bado unaamini ulichokuwa unakiamini..?
 
Mpaka first half inaisha arsenal 0- Chelsea 2.
Second half dakika ya 51 Arsenal inapata bao.
Dakika ya 74 Arsenal naandika bao la pili.
Dakika ya 86 Arsenal inasokomeka bao la tatu.
Full time Arsenal 3 Chelsea 2
Kweli nikajua unaweza ndumba kumbe holaaa.
 
nimehacha kuishabikia arsenal kuanzia leo naamia man city ,kma watu wanabadilisha dini ije kuwa club ya mpira, litimu kila cku lenyewe ni kusindikiza wenzake tu
Hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha hasira rafiki yangu timu ni sawa na kabila huwezi hama.
 
Hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha hasira rafiki yangu timu ni sawa na kabila huwezi hama.
Ni sawa na kujifunza unafiki. Kuhama mazima ni vigumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…