Hbr wakuu, leo kuna fainali ya kikombe cha ligi zamani kikiitwa Carling cup na sasa kinaitwa Carabao cup chini ya uzamini wa kinywaji cha Carabao.
Nimejaribu kucheck kwenye Dstv ratiba ila hawaonyeshi.Nataka kujua bongo channel gani wataonyesha? Kwa anaejua.
Ipo DSTVM COT HD + KWESE FREE SPORTS
National Geographic wild?[emoji53][emoji53][emoji53]National Geo
Waliolelewa na Babu au Bibi wanajulikana tu,National Geo
Wewe umelelewa na nani???Waliolelewa na Babu au Bibi wanajulikana tu,
alie tamthilia ya JIRANIITAKUWA NI ITV