Hbr wakuu, leo kuna fainali ya kikombe cha ligi zamani kikiitwa Carling cup na sasa kinaitwa Carabao cup chini ya uzamini wa kinywaji cha Carabao.
Nimejaribu kucheck kwenye Dstv ratiba ila hawaonyeshi.Nataka kujua bongo channel gani wataonyesha? Kwa anaejua.