Arsenal vs Man city itaonyeshwa na channel gani?

Kremme

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
471
Reaction score
495
Hbr wakuu, leo kuna fainali ya kikombe cha ligi zamani kikiitwa Carling cup na sasa kinaitwa Carabao cup chini ya uzamini wa kinywaji cha Carabao.
Nimejaribu kucheck kwenye Dstv ratiba ila hawaonyeshi.Nataka kujua bongo channel gani wataonyesha? Kwa anaejua.
 
  • Thanks
Reactions: Lee

YouTube.
 
Back
Top Bottom