Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
weka akiba ya Manenoarsenal 5 man u 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka akiba ya Manenoarsenal 5 man u 0
Vipi Man Utd kajitahidi au bado?hatujapoteza mchezo emirates, man u akijitahid draw
Baadae ya saa ngap?Hii Mechi Man yuu atapigwa tukutane baadaye
Najua utakua umefura kwa kipigo heavy mkuuAlitutesa sir alex ila sio hawa wengine
Na id yako ya pili... Pamoja na ban...Man united hawana beki y a kumzuia Alesix sanchez
[emoji23][emoji23][emoji23]arsenal 5 man u 0
[emoji23][emoji23][emoji23]hatujapoteza mchezo emirates, man u akijitahid draw
[emoji58][emoji58][emoji58]huu uzi bado upo,naomba ufutwe mnanipa simanziNajua utakua umefura kwa kipigo heavy mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Arsenal 4-ManU 1
Njoo uje uedit ulichoandika mkuuArsenal itashinda 3-0
arsenal 1 man u 3
1-3 full time.
Agiza soda mkuuSijawahi kubet ila man u watashinda goli 3 zitapendeza zaidi
Vip Gunners mmeshinda ngap?Umesema ni gemu Kali sana, mara Man ananafasi ya kushinda!! Umelogwa wewe. Man hawana ubavu wa kutufunga Gunner's amini maneno yangu.
hatari mkuu!We jamaa noma sana
Kapigwa ngapiHii Mechi Man yuu atapigwa tukutane baadaye
Droo ya kabat auHii mechi ni droo
Sare ya vitenge auHawa ni sare tu!!
Kafa ngapMan u anakufa leo Arsenal sio ya mchezo mchezo
Siku nyingine utumie sufuriaMpaka sasa chungu bado kinaniambia 1-0
HahahahahMan united hawana beki y a kumzuia Alesix sanchez