figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Arsene Bucuti, Msemaji wa Timu ya Mpira kutoka Burundi ya Vital O, ameamua kujiuzulu. Ni baada ya Timu yake kufungwa na Timu kutoka Tanzania ya Young Africans.
Amesema ametimiza ahadi yake.
Kabla ya Mchezo uliochezwa Azam Complex Mkoani Dar Es Salaam, aliahidi kwamba Timu yake ya Vital O, ingeinywa Yanga kama Supu lakini mambo yameenda tofauti.
Soma Pia: Msemaji wa Vital'o kujiuzulu kama wakifungwa na Yanga