figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Leo wa moto!! Ndo ile heat??Haendi popote atulie hapo, tuwakande tena......
Uko wapi? Pokea simu no zinazoishia na 482 kumewaka huku bia za kumwagaHaendi popote atulie hapo, tuwakande tena......
Huyo jamaa ni aina ya Masau Bwire 1-1. Alisema kuwa angalau Vital'O haikufungwa 5 kama Simba.Jamaa nimejikuta tu nampenda. Comedy balaa
Wapiiii nikamate boda boda wangu chap.....Uko wapi? Pokea simu no zinazoishia na 482 kumewaka huku bia za kumwaga
Comedy sana, eti yanga yenyewe haijafika malengo, walisema watapiga tano ila wameishia nne tu.Jamaa nimejikuta tu nampenda. Comedy balaa
Yanga uwekezaji kwa wachezaji bilioni 4.3 wao milioni 700 niliwasikia watangazaji wa Azam tvHii ni comedy ilitengenezwa ili kufanya promotion ya mechi...kwanza hao VITALO wangekuwa serious wasingeleta team kucheza DAR home kwa mpinzani hata kwao kuna tatizo...
Ni vitimu ambavyo havinaga malengo makubwa ya tournaments ...
Tarehe 24-08-2024 Yanga sc wameomba iwe siku ya shamra shamra za mwanzo wa mashindano ya CAFCL ,(kuchele,)View attachment 3072913
Arsene Bucuti, Msemaji wa Timu ya Mpira kutoka Burundi ya Vital O, ameamua kujiuzulu. Ni baada ya Timu yake kufungwa na Timu kutoka Tanzania ya Young Africans.
Amesema ametimiza ahadi yake.
Kabla ya Mchezo uliochezwa Azam Complex Mkoani Dar Es Salaam, aliahidi kwamba Timu yake ya Vital O, ingeinywa Yanga kama Supu lakini mambo yameenda tofauti.
Soma Pia: Msemaji wa Vital'o kujiuzulu kama wakifungwa na Yanga
View attachment 3072911
Hata 700 million ni nyingi sana kwa kikosi cha timu ile. Hawana hata foreigner mmoja kwenye kikosi zinafikaje milion 700. Wao ni sawa na timu kama zetu za championship.Yanga uwekezaji kwa wachezaji bilioni 4.3 wao milioni 700 niliwasikia watangazaji wa Azam tv
KumbeHata 700 million ni nyingi sana kwa kikosi cha timu ile. Hawana hata foreigner mmoja kwenye kikosi zinafikaje milion 700. Wao ni sawa na timu kama zetu za championship.
Halafu walikuwa na bahati walialikwa na pamba fc. Kuna gharama zimepungua.Kumbe