Kama wewe sio shabiki Wa the gunners hili linakuhusuje? Watanzania acheni unafiki unafiki matatizo mengi tunayo ila tunaishia kupiga domo tu! Pumbaf sanaKwa hatua aliofikia Professor AW pale Arsenal ni dhahiri kiburi chake sasa ni grade'A' au waweza sema ni kiwango cha lami...
Kwanini nasema hivi... mzee ameamua kucheza na akili za mashabiki...Je nikweli kashindwa kuwapa Monaco iyo £5m kufikia £50m kumpata kiungo huyo...?
La hasha mzee anajua sio bodi, mashabiki wala wamiliki wa timu wanaweza mfanya kitu....
Kumpa AW kandarasi mpya ilikuwa ni kisu cha bucha shingoni mwa AFC....
Mashabiki wa Arsenal hesabuni miaka miwili ya maumivu...
[HASHTAG]#wengerhayukoserious[/HASHTAG]
Kwan bila ku-quote uzi mzima tusingekuelewa..... aisee jirekebishe sio kutujazia jazia quotes za mweny uzi[emoji41]Kama wewe sio shabiki Wa the gunners hili linakuhusuje? Watanzania acheni unafiki unafiki matatizo mengi tunayo ila tunaishia kupiga domo tu! Pumbaf sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mpumbavu sana usinipangie namna ya ku react kwenye thread on table! Wewe sio moderator just a mediocreKwan bila ku-quote uzi mzima tusingekuelewa..... aisee jirekebishe sio kutujazia jazia quotes za mweny uzi[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumb*vu ni ww, sasa hata bado hujampikia mmeo chai unakuja humu ku-react na wanaume...Wewe mpumbavu sana usinipangie namna ya ku react kwenye thread on table! Wewe sio moderator just a mediocre
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kwenye heat period wewe unatafuta mimba humu?Mpumb*vu ni ww, sasa hata bado hujampikia mmeo chai unakuja humu ku-react na wanaume...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unayebeza timu kubwa Kama hii ambayo Ndio inaongoza kwa kutwaa ubingwa Wa FA Mara nyingi zaidi inatakiwa upimwe damu sio mkojo tuuHivi hiyo timu bado ina mashabiki.? Na kama wapo naomba wakapimwe mkojo.
Kwa hiyo nyie mnafanya usajili ili mkachukue tu ubingwa FA.?Wewe unayebeza timu kubwa Kama hii ambayo Ndio inaongoza kwa kutwaa ubingwa Wa FA Mara nyingi zaidi inatakiwa upimwe damu sio mkojo tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui mpira na Mimi sipendi kujadili kitu na mtu asiyejua chochoteKwa hiyo nyie mnafanya usajili ili mkachukue tu ubingwa FA.?
Hapa bila mkojo hatutaelewana[emoji2] [emoji2]
Hahaaa.. Umekosa point mkuu.Hujui mpira na Mimi sipendi kujadili kitu na mtu asiyejua chochote
Sent using Jamii Forums mobile app