Arsene Wenger na kiburi grade 'A

Arsene Wenger na kiburi grade 'A

Travoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
397
Reaction score
481
Kwa hatua aliofikia Professor AW pale Arsenal ni dhahiri kiburi chake sasa ni grade'A' au waweza sema ni kiwango cha lami...

Kwanini nasema hivi... mzee ameamua kucheza na akili za mashabiki...Je nikweli kashindwa kuwapa Monaco iyo £5m kufikia £50m kumpata kiungo huyo...?

La hasha mzee anajua sio bodi, mashabiki wala wamiliki wa timu wanaweza mfanya kitu....

Kumpa AW kandarasi mpya ilikuwa ni kisu cha bucha shingoni mwa AFC....

Mashabiki wa Arsenal hesabuni miaka miwili ya maumivu...

[HASHTAG]#wengerhayukoserious[/HASHTAG]
 
Kama wewe sio shabiki Wa the gunners hili linakuhusuje? Watanzania acheni unafiki unafiki matatizo mengi tunayo ila tunaishia kupiga domo tu! Pumbaf sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua kuwa kwenye msafara wa mamba kunaweza kusikosekane kenge?
 
Tulia, he said he still has to make more signing(s) before the window closes. I am sure that signing will be Lemar, I regret we have missed Mahrez
 
Wenger ni tatizoo...hatakama mtakataa
 
Back
Top Bottom