Arsene Wenger na Pierluigi Collina watua nchini kutazama mechi ya ufunguzi wa African Football League

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Kocha wa zamani wa Arsenal ambaye kwa sasa ni Mkuu wa maendeleo ya soka wa FIFA, Arsene WENGER tayari ametua nchini Tanzania kwa ajili ya kuitazama mechi ya ufunguzi wa Mashindano ya African Football League kati ya wenyeji Simba SC dhidi ya Al Ahly katika dimba la Benjamin Mkapa.


Your browser is not able to display this video.

--
Mkufunzi wa zamani wa Arsenal FC Mfaransa Arsene Wenger na Mwamuzi Mstaafu wa FIFA Pierluigi Collina ni miongoni mwa ujumbe uliombatana na Rais wa FIFA Gianni Infantino Kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi wa African Football League 2023 baina ya Simba Sc dhidi ya Al Ahly ya Misri utakaochezwa Benjamin Mkapa Saa 12:00 Jioni.

 
Kombe la wajinga na sijui wamepataje timu,wkt ilibid wachukue semi final teams from caf federation nd champ.
Naunga mkono hoja, ni kombe lisilo na mantiki kabisa, it means mwakani watakao shindanishwa ni wale wale. Ulaya wameona ni upumbavu, wakaleta huku kwa majaribio ili timu za ulaya zivutiwe nalo, ila ni upuuzi mtupu.
 
#MICHEZO Mkufunzi wa zamani wa Arsenal FC Mfaransa Arsene Wenger na Mwamuzi Mstaafu wa FIFA Pierluigi Collina ni miongoni mwa ujumbe uliombatana na Rais wa FIFA Gianni Infantino Kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi wa African Football League 2023 baina ya Simba Sc dhidi ya Al Ahly ya Misri utakaochezwa Benjamin Mkapa Saa 12:00 Jioni.

Wanasimba kati ya hawa nani ambaye unatamani kupiga nae picha leo?

#AFL View attachment 2787166
 
Aisee nije nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…