Arsene Wenger na Pierluigi Collina watua nchini kutazama mechi ya ufunguzi wa African Football League

Arsene Wenger na Pierluigi Collina watua nchini kutazama mechi ya ufunguzi wa African Football League

Kombe la wajinga na sijui wamepataje timu,wkt ilibid wachukue semi final teams from caf federation nd champ.
Wangefanya hivi kuna baadhi ya team ambazo ziliotea tu kuwemo zingepatq nafasi, ndiomaana wakatumia vigezo vingine ili kupata team ambazo ushiriki wao huko CAFCL&CAFCC sio wa kubahatisha.
 
Kocha wa zamani wa Arsenal ambaye kwa sasa ni Mkuu wa maendeleo ya soka wa FIFA, Arsene WENGER tayari ametua nchini Tanzania kwa ajili ya kuitazama mechi ya ufunguzi wa Mashindano ya African Football League kati ya wenyeji Simba SC dhidi ya Al Ahly katika dimba la Benjamin Mkapa.

--
Mkufunzi wa zamani wa Arsenal FC Mfaransa Arsene Wenger na Mwamuzi Mstaafu wa FIFA Pierluigi Collina ni miongoni mwa ujumbe uliombatana na Rais wa FIFA Gianni Infantino Kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi wa African Football League 2023 baina ya Simba Sc dhidi ya Al Ahly ya Misri utakaochezwa Benjamin Mkapa Saa 12:00 Jioni.

Kwa kiwango hiki, inabidi tuwaelewe tu uto wanapoumwa sana na wivu!!
 
Kombe la wajinga na sijui wamepataje timu,wkt ilibid wachukue semi final teams from caf federation nd champ.
Kigezo kilichotumika ni kuchukua timu zilizojikusanyia pointi nyingi katika kipindi cha miaka 5 iliyopita!! LOGIC HAPA NI KUPATA TIMU ZENYE MWENDELEZO WA UBORA!! Siyo inayoibuka leo from nowhere na kufika fainali ya kombe la losers!! Ndiyo maana TP Mazembe imo japokuwa haikufanya vizuri msimu uliopita ila ina pointi nyingi katika kipindi cha miaka 5!! Haya Uto tuambieni mna pointi ngapi caf katika kipindi cha miaka 5 iliyopita?
 
Unapoteza tu muda..kwani hawajui? Wanadhihirisha tu vile wasivyo na akili
 
Hata kama kwenye AFL zingeshiriki timu 24 kama zilivyokuwa zimepangwa hapo awali, bado yanga almaarufu kama "Ut*p*l* isingekuwamo!! Mwakani zitashiriki timu 24 lakini Yanga bado hatatoboa maana inaelekea itavuta mkia kwenye kundi lake.
CAF SUPER LEAGUE TEAMS
Here are the 24 clubs that will participate in the 1st edition of the CAF Super League:
1. Al Ahly (Egypt )
2. Zamalek (Egypt )
3. Pyramids (Egypt )
4. Al Masry (Egypt )
5. Wydad AC (Morocco )
6. Raja Casablanca (Morocco )
7. RS Berkane (Morocco)
8. Esperance (Tunisia )
9. Etoile Du Sahel (Tunisia )
10. Mamelodi Sundowns (South Africa)
11. Orlando Pirates (South Africa )
12. Kaizer Chiefs (South Africa )
13. JS Kabyile (Algeria )
14. CR Belouizdad (Algeria )
15. ES Setif (Algeria )
16. TP Mazembe (DR Congo )
17. Horoya AC (Guinea )
18. SC Enyimba (Nigeria )
19. Petro de Luanda (Angola )
20. Simba SC (Tanzania
🇹🇿
)
21. Asante Kotoko (Ghana )
22. Al Hilal (Sudan )
23. ASEC Mimosas (Ivory Coast )
24. Coton Sport (Cameroon )
 
Yaani mtandao wa mdosi ni mkubwa aisee, yaani amewabebesha hata hao watu wazima mzigo?
Kweli makonda alikuwa na kazi ngumu
 
Wamezungumziaje suala la Polisi wa Tanzania kujihusisha na masuala ya mpira viwanjani kinyume na sheria za FIFA?
 
Ilikuwa fursa nzuri ambayo hatukuitumia vema kwa Wenger tumesikia ataisaidia Tanzania kujiandaa na mashindano ya Africa 2027, Ila tungetumia fursa hiyo kuombea nafasi watanzania kusomea ukocha na sio vikozi vya wiki mbili. Kila mtu anajua madhaifu ya waamuzi wetu, tungemwomba Collina atusaidie namna ya kuzalisha waamuzi Bora.
 
Back
Top Bottom