Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Betting ni wewe na nafsi Yako full stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapoteza hela tu mkuu mimi mwenyewe naiskia kijuujuu tu. Ila kifupi mfano unaenda kariakoo unanunua maji kwa mia 4 unasogea posta fasta unauza kwa mia 5, process inakua hiyo. Waangalia utofauti wa odds katika site tofauti wanachezesha chezesha humo. Nayo si kazi rahisiNaomba unijuze kuhusu arbitrage
Mzee sina mchongo wowote nataka nijaribu kubeti labda nitakuza helaUtapoteza hela tu mkuu mimi mwenyewe naiskia kijuujuu tu. Ila kifupi mfano unaenda kariakoo unanunua maji kwa mia 4 unasogea posta fasta unauza kwa mia 5, process inakua hiyo. Waangalia utofauti wa odds katika site tofauti wanachezesha chezesha humo. Nayo si kazi rahisi
Unamtaji kiasi ganiMzee sina mchongo wowote nataka nijaribu kubeti labda nitakuza hela
Wapo sana,tatizo mnabeti kimasikini unaweka 500 unataka 1,000,000Lazima wawepo, ila wachache
Mimi sibet mkuuMzee sina mchongo wowote nataka nijaribu kubeti labda nitakuza hela
Siri yangu man, mimi nipo sana kwenye uzi wetu pendwa wa kubeti na leo natupia codes za sportybet, account yangu ya jf mwaka jana imefungiwa ila mimi sio mgeni kabisaUnamtaji kiasi gani
Basi poa Mimi nilitaka nikushauri kwakua ni Siri Yako okaySiri yangu man, mimi nipo sana kwenye uzi wetu pendwa wa kubeti na leo natupia codes za sportybet, account yangu ya jf mwaka jana imefungiwa ila mimi sio mgeni kabisa
Mimi kwa asilimia kubwa chatgpt nimei replace kwenye translator, Google na kidogo kuhifadhi dataHata wataalamu wanasema msiamini AI sana
Kuna majibu mengine inatunga tu
Mtaji upo wa 10kBasi poa Mimi nilitaka nikushauri kwakua ni Siri Yako okay
on the long run wanaowin ni wachache ukilinganisha na wanaopoteza. Si ndo hizi kampuni zinavosurvive mkuu?Wapo sana,tatizo mnabeti kimasikini unaweka 500 unataka 1,000,000
Hutokaa kuwin bet
Hapo kutoboa inahitaji moyo Bora ingekua hata 100kMtaji upo wa 10k
Mdogo mdogo kaka tutafika tuHapo kutoboa inahitaji moyo Bora ingekua hata 100k
Kila kitu ni risk mzeeWatu mna roho ngumu sana...
Hii kitu sijawahi waza na sidhani,
Pamoja na kua nina ushuhuda wa mwana kushinda 37M miezi iliyopita, ila sijashawishika, kule siweki hata mia yangu.
Ni mambo ya probabilities, wanaopiga hela ya maana wanakua wachache wengi wanapoteza ndo model ya biashara ya betting.
Jamaa Jana amekula million 30 akaacha na ukondaUnaweza kuwa mmoja wa hao wachache
Jamaa Jana amekula million 30 akaacha na ukonda
Alinasa kiasi ganiYah watu wanapata ela, kuna mmoja namjua Yuko Dodoma ni kuuza kuku, alipiga jackpot