Artificial Intelligence (AI) kwenye betting

Artificial Intelligence (AI) kwenye betting

Utapoteza hela tu mkuu mimi mwenyewe naiskia kijuujuu tu. Ila kifupi mfano unaenda kariakoo unanunua maji kwa mia 4 unasogea posta fasta unauza kwa mia 5, process inakua hiyo. Waangalia utofauti wa odds katika site tofauti wanachezesha chezesha humo. Nayo si kazi rahisi
Mzee sina mchongo wowote nataka nijaribu kubeti labda nitakuza hela
 
Siri yangu man, mimi nipo sana kwenye uzi wetu pendwa wa kubeti na leo natupia codes za sportybet, account yangu ya jf mwaka jana imefungiwa ila mimi sio mgeni kabisa
Basi poa Mimi nilitaka nikushauri kwakua ni Siri Yako okay
 
Watu mna roho ngumu sana...

Hii kitu sijawahi waza na sidhani,
Pamoja na kua nina ushuhuda wa mwana kushinda 37M miezi iliyopita, ila sijashawishika, kule siweki hata mia yangu.
 
Watu mna roho ngumu sana...

Hii kitu sijawahi waza na sidhani,
Pamoja na kua nina ushuhuda wa mwana kushinda 37M miezi iliyopita, ila sijashawishika, kule siweki hata mia yangu.
Kila kitu ni risk mzee
"no free lunch, someone must pay"
 
Ni mambo ya probabilities, wanaopiga hela ya maana wanakua wachache wengi wanapoteza ndo model ya biashara ya betting.

Unaweza kuwa mmoja wa hao wachache
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom