Artificial Intelligence (AI) kwenye betting

Ni mambo ya probabilities, wanaopiga hela ya maana wanakua wachache wengi wanapoteza ndo model ya biashara ya betting.
Na wengi wanaopoteza n hawa wanaoweka buku buku ila mtu anaeweka pesa ndefu wenyew wanasema investiment wanapiga hela sana tu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kwa mechi ya jana unakulaje?

Nani ambaye alithubutu kumuwekea Tabora?

Gem kama zile weka magori na sio direct win

Na ukitaka Kula Sana kwenye betting tafuta odds kumi weka elf 3 unapata elf 30 anzia hapo na uweke magori kwenye ligi ambazo unajua zitatoa magori
 
Kama hujui chatgpt inaenda kwenye website karibu zote na kuchuja matokeo ya kubashiriwa ila nashangaa bado jau tu
Mkuu, hufikirii kuwa hiyo gpt ipo dunia nzima ukajiuliza kwanini makampuni ya betting hawafungi biashara kama kuna roboti linalotabiri na kupatia?
 
Betting hakuna mtu mwenye uhakika nayo. Hata wewnyewe wanabeti mtaji wao lakini uhakika wakupoteza mtaji Ni mdogo kwakuwa Wana mtaji mkubwa wa ku stay kwenye gemu. Yeye hata ukimpiga Milion 200 Leo anajua utarudisha yote au sehemu yake au watarudisha wengine watakaotaka Kushinda Kama wewe. Ndiposa unakuta mtu akishinda wao wanafurahi wanajua hakuna kilichoharibika
 
Gem kama zile weka magori na sio direct win

Na ukitaka Kula Sana kwenye betting tafuta odds kumi weka elf 3 unapata elf 30 anzia hapo na uweke magori kwenye ligi ambazo unajua zitatoa magori
Wapo wanaolalamika kuwa inachana hadi ukiweka wafungane
 
Inategemea ni ligi gani, mfano EPL Ile top four wakicheza lazima kuwe na over 1.5

Ligi 1 pia inatoa Sana over

Denmark Sweden zinatoa Sana Kona

Spain weka faulo au Kadi

Na usiweke 500 upate milion haha

Anza na elf tatu upate elf 30
 
Mkuu, hufikirii kuwa hiyo gpt ipo dunia nzima ukajiuliza kwanini makampuni ya betting hawafungi biashara kama kuna roboti linalotabiri na kupatia?
Kiufupi hamna ubashiri sahihi kwenye mechi, labda kidogo kwa wazee wa forex wanaotumia robots ingawa sina ushuhuda nao
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kubet kulivyo unaweza irudisha yote iyo hela na usiamin na ata iyo crown athlete usiipate🙌
Ukipiga mpunga mrefu kama huo acha kabisa kuendelea kubeti na kama huwezi biashara kaiwekeze kwenye UTT uwe unapokea laki mbili kwa mwezi 😂😂
 
Betting hakuna mtu mwenye uhakika nayo. Hata wewnyewe wanabeti mtaji wao lakini uhakika wakupoteza mtaji Ni mdogo kwakuwa Wana mtaji mkubwa wa ku stay kwenye gemu. Yeye hata ukimpiga Milion 200 Leo anajua utarudisha yote au sehemu yake au watarudisha wengine watakaotaka Kushinda Kama wewe. Ndiposa unakuta mtu akishinda wao wanafurahi wanajua hakuna kilichoharibika
Win-Lose. Mchezo wa Bahati nasibu
 
Inategemea ni ligi gani, mfano EPL Ile top four wakicheza lazima kuwe na over 1.5

Ligi 1 pia inatoa Sana over

Denmark Sweden zinatoa Sana Kona

Spain weka faulo au Kadi

Na usiweke 500 upate milion haha

Anza na elf tatu upate elf 30
Oi uwe unatupia codes kwenye mkeka wetu pendwa wa kubeti
 
Back
Top Bottom