Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwa mechi ya jana unakulaje?Kuna mtu aliewahi kufanikiwa kupitia betting?
Nani ambaye alithubutu kumuwekea Tabora?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mechi ya jana unakulaje?Kuna mtu aliewahi kufanikiwa kupitia betting?
Ambazo milioni 29.5 kati ya hizo akaliwa kwenye kamari hiyohiyo ya kubashiri matokeo.Kitaa hapa kwa binyau kuna konda amekula million 30
Na wengi wanaopoteza n hawa wanaoweka buku buku ila mtu anaeweka pesa ndefu wenyew wanasema investiment wanapiga hela sana tuNi mambo ya probabilities, wanaopiga hela ya maana wanakua wachache wengi wanapoteza ndo model ya biashara ya betting.
Kubet kulivyo unaweza irudisha yote iyo hela na usiamin na ata iyo crown athlete usiipate🙌Dah nikiipata hiyo nakimbilia kwanza crown athlete ya 2009 alafu ndio nikae niwaze cha kuinvest
Cc : Mad Max
Kwa mechi ya jana unakulaje?
Nani ambaye alithubutu kumuwekea Tabora?
🤣🤣being mimi ilinikaaga kabisa waziwaziKiukwel sijawahi bet ila washkaji zangu wanaobet kila siku utaskia nimeweka 3k nkapata 45k, mara niweka 10k nkapata 119k afu baada ya dkk tano anakuomba 2k
Mpe muda😆Jamaa Jana amekula million 30 akaacha na ukonda
***** 🤣utakuza mtaji ama hasara?Mzee sina mchongo wowote nataka nijaribu kubeti labda nitakuza hela
Mkuu, hufikirii kuwa hiyo gpt ipo dunia nzima ukajiuliza kwanini makampuni ya betting hawafungi biashara kama kuna roboti linalotabiri na kupatia?Kama hujui chatgpt inaenda kwenye website karibu zote na kuchuja matokeo ya kubashiriwa ila nashangaa bado jau tu
Betting hakuna mtu mwenye uhakika nayo. Hata wewnyewe wanabeti mtaji wao lakini uhakika wakupoteza mtaji Ni mdogo kwakuwa Wana mtaji mkubwa wa ku stay kwenye gemu. Yeye hata ukimpiga Milion 200 Leo anajua utarudisha yote au sehemu yake au watarudisha wengine watakaotaka Kushinda Kama wewe. Ndiposa unakuta mtu akishinda wao wanafurahi wanajua hakuna kilichoharibikaMkuu, hufikirii kuwa hiyo gpt ipo dunia nzima ukajiuliza kwanini makampuni ya betting hawafungi biashara kama kuna roboti linalotabiri na kupatia?
Wapo wanaolalamika kuwa inachana hadi ukiweka wafunganeGem kama zile weka magori na sio direct win
Na ukitaka Kula Sana kwenye betting tafuta odds kumi weka elf 3 unapata elf 30 anzia hapo na uweke magori kwenye ligi ambazo unajua zitatoa magori
Wapo wanaolalamika kuwa inachana hadi ukiweka wafungane
Kiufupi hamna ubashiri sahihi kwenye mechi, labda kidogo kwa wazee wa forex wanaotumia robots ingawa sina ushuhuda naoMkuu, hufikirii kuwa hiyo gpt ipo dunia nzima ukajiuliza kwanini makampuni ya betting hawafungi biashara kama kuna roboti linalotabiri na kupatia?
Hapa naisaka milioni 30 ninunue coaster mzee***** 🤣utakuza mtaji ama hasara?
Ukipiga mpunga mrefu kama huo acha kabisa kuendelea kubeti na kama huwezi biashara kaiwekeze kwenye UTT uwe unapokea laki mbili kwa mwezi 😂😂Kubet kulivyo unaweza irudisha yote iyo hela na usiamin na ata iyo crown athlete usiipate🙌
Win-Lose. Mchezo wa Bahati nasibuBetting hakuna mtu mwenye uhakika nayo. Hata wewnyewe wanabeti mtaji wao lakini uhakika wakupoteza mtaji Ni mdogo kwakuwa Wana mtaji mkubwa wa ku stay kwenye gemu. Yeye hata ukimpiga Milion 200 Leo anajua utarudisha yote au sehemu yake au watarudisha wengine watakaotaka Kushinda Kama wewe. Ndiposa unakuta mtu akishinda wao wanafurahi wanajua hakuna kilichoharibika
Oi uwe unatupia codes kwenye mkeka wetu pendwa wa kubetiInategemea ni ligi gani, mfano EPL Ile top four wakicheza lazima kuwe na over 1.5
Ligi 1 pia inatoa Sana over
Denmark Sweden zinatoa Sana Kona
Spain weka faulo au Kadi
Na usiweke 500 upate milion haha
Anza na elf tatu upate elf 30