secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
🤣 🤣Eti, "Nyeto ndo imekufanya upungukiwe na nguvu za kiume", by Dr Ndodi.
"Nilikuchiti kwa sababu shetani kanipitia", by my wife Lucha.
"Hakuna watu waliouawa tarehe 29 October 2025, ile ni AI", Samuya.
"Nilibeti nikashinda TSH 1,000,000 (kumbe kaiba pesa)", by kijana niliyemwajiri kwenye duka langu.
NYAMBAFU 😎.
Mbaga Jr.
Dr am 4 real PhD.
adriz de mbusii.
Shetani akiulizwa na mchunguaji anaanza kulialia tu na kuleta uwongo wa hapa na pale.Na hivyo vitu vikiulizwa vinasemaje😂
Apigwe rungu la kichwa atulie aache kuweka watu dhambiniShetani akiulizwa na mchunguaji anaanza kulialia tu na kuleta uwongo wa hapa na pale.
Shetani wala hana shida mkuu.Apigwe rungu la kichwa atulie aache kuweka watu dhambini
Hii bet hiiView attachment 3538573
oyaa, ELI COHEN njoo umwone comrade Kipepe akipiga masanga mbele ya afande.
Madokta manyaunyau wanawadanganya watu Kwa kusema nyeto inapunguza nguvu za kiume.Watu wengine ni hovyo kabisa, nyeto ni njia salama ya kujiepusha na ubakaji unaanzia wapi kuipiga makofi!
Nawe ni miongoni mwa madakatari wanaowadanga watu kuhusu nyeto?
Upuuzi tu, ninamiaka 8 kwenye hiki kitengo na bado mbususu nazichaka vema tu bila twabuu.Madokta manyaunyau wanawadanganya watu Kwa kusema nyeto inapunguza nguvu za kiume.
Mimi mwenyewe natumiaNawe ni miongoni mwa madakatari wanaowadanga watu kuhusu nyeto?
Nimefarijika sana kusikia hivyo.Mimi mwenyewe natumia
Hicho kiumbe siyo mtu ndugu!Mimi tangu nilipoacha kunyonya niliingia kwenye fani hii hadi leo, lakini kwenye angle ya kujamiiana niko vyema sana pia.
Hata Seran analijua hili.
Kwa nini mkuu?Hicho kiumbe siyo mtu ndugu!