Artificial intelligence inaweza kutumika kutunza lugha,mila na destuli zinazotoweka Tanzania na kuzihifadhi

Artificial intelligence inaweza kutumika kutunza lugha,mila na destuli zinazotoweka Tanzania na kuzihifadhi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Kuna baadhi ya mila, desturi na mila zinapotea kwa kasi, hasa makabila madogo. Mfano wachaga walikuwa na utamaduni wa kuchinja mnyama kisha zile nyama wakaziweka eneo la makaburi, asubuhi pakikucha wanaamini wazee wamekula kumbe mbwa wamepita nazo.

Nashauri artificial intelligence itumike kutunza lugha, mila na tamaduni ambazo wazungumzaji wake wanapotea kwa kasi.

Iwepo central digital deposit ya hayo mambo yakiwa katika vibonzo vya kiteknolojia vinavyoelezea maneno, matamshi, mila na tamaduni
 
Back
Top Bottom