Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Lakini ikumbukwe kuwa huyo mchongaji si Mwafrika.AI ni kinyago km vinyago vingine toka lini kinyago kikamtisha mchongaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ikumbukwe kuwa huyo mchongaji si Mwafrika.AI ni kinyago km vinyago vingine toka lini kinyago kikamtisha mchongaji?
Teknolojia inakuwa mkuu , ni kweli AI haiwezi kumzidi binadamu kiakili lakini itakuja kufikia hatua ambayo ni Shocking , baadhi ya kazi hazitohitaji usimamizi wa kibinadamu, nakubaliana na wewe kusema kwamba inakuzwa kibiashara lakini hii ni kutokana na kwamba ndio uwelekeo wa teknolojia , Potential ya AI siku zijazo ni kubwa mno na wajanja ndio wanakomaa huko kwani ndio fursa.Wenye uelewa zaidi wanaelewa AI ni brand inayotumika kibiashara, waliosoma computer science, programming na wakaelewa AI inavyofanya kazi wanakiri AI inakuzwa.
Hakuna mtu anapinga maendeleo katika tech.Wazungu wanakwenda mbele sisi tunarudi nyuma.
Mapimbi wamepanga foleni 24/7 kwa Mwamposa kupata maji na mafuta ya upako
AI hata wewe ukitaka unatengeneza Computer Science inatolewa hadi Masters wanafundishwa AI achia mbali hio Havard wanatoa free course online ya AI ni wewe tu na Bando lako na muda wako ukitoka hapo ushanielewa uanachonga kinyago chako mdogo mdogoLakini ikumbukwe kuwa huyo mchongaji si Mwafrika.
Tech ni kitu endelevu, na hawa watu wa tafiti wataendelea kutupelekesha sana kwa sababu sisi tunachukulia poa sana vitu, leo hii ukimfufua nyerere umwambie magari yanajiendesha , na pia kuna vitu vingine kama AI atastaajabu sanaHakuna mtu anapinga maendeleo katika tech.
Tunawekana sawa, kuwa na uwazi na kuambiana ukweli.
AI ni programming.
Haya nitajie mfumo wa AI unaoleta tija kwenye jamii zetu uliobuniwa na Mwafrika?AI hata wewe ukitaka unatengeneza Computer Science inatolewa hadi Masters wanafundishwa AI achia mbali hio Havard wanatoa free course online ya AI ni wewe tu na Bando lako na muda wako ukitoka hapo ushanielewa uanachonga kinyago chako mdogo mdogo
YouTube tutorial kibao za AI zipo ingia jifunze haipo kwa ajili ya wachina tu AU wazungu tu hata wewe unaweza usijidumaze vinyago vinachongwa Dunia nzima
Iko overated sana yaani ipo kawaida sanaAI ni tool itakayotumika kuboresha tu kazi, ni sawa na calculator ilipogunduliwa, wahasibu waliitumia kama tool kuokoa muda, haimaanishi iki replace kazi za uhasibu.
Point yangu ni jinsi AI inavyokuwa hyped iogopwe wakati huo uwezo haina na haitakuwa nao zaidi ni wafanya biashara wakifanya marketing.
Ubongo wa binadamu ni habari nyingine nashaanga sana watu wanaoamini hizo mythical kwamba AI itamreplace binadamu ambaye kila siku ana-mtrainKuna jamaa kesha sema kitambo tu kuwa, “artificial intelligence is neither artificial nor intelligent…..” mwisho wa kunukuu.
AI ni fursa nakubali kwa investors na wanaotaka kutengeneza bidhaa za AI.Teknolojia inakuwa mkuu , ni kweli AI haiwezi kumzidi binadamu kiakili lakini itakuja kufikia hatua ambayo ni Shocking , baadhi ya kazi hazitohitaji usimamizi wa kibinadamu, nakubaliana na wewe kusema kwamba inakuzwa kibiashara lakini hii ni kutokana na kwamba ndio uwelekeo wa teknolojia , Potential ya AI siku zijazo ni kubwa mno na wajanja ndio wanakomaa huko kwani ndio fursa.
Elewa pia Automated intelligence ni tofauti na Artificial Intelligence licha ya kwamba ni viru vinavyoshabihihiana...Focus , learning and functioning vinatofautiana sana..
Ai itakuwa hatari zaidi kama.isipodhibitiwa na kufanywa kama tools kwa binadamu na hapo ndio Elon analenga.
Tuna support sana maendeleo ya AI, lakini tunachopinga ni uongo wa wazi na kutishana AI itamzidi binadamu uwezo.watu wanatakiwa waache kuogopa technology advancement haipo kum replace mwanadamu ipo kwaajili ya kumrahishia mambo mwanadamu
vibarua kwenye ujenzi wa reli miaka ya 1800s ilikua ni maelfu ya watu ila saiv ni ni mamia tu kwa msaada wa mawinchi na ma excavator watu wanapiga mzigo katika mazingira yasio hatarishi sana
same applied to AI tecnology mpya ikija nikuwah tu kuidopt chap na sio kuanza kuiletea upinzani maana hutoboi
Napia AI ili impite mwanadamu inatakiwa iwe na uwezo wa kuzaliana kama mwanadamuTuna support sana maendeleo ya AI, lakini tunachopinga ni uongo wa wazi na kutishana AI itamzidi binadamu uwezo.
Kwamba AI itafanya kazi za binadamu na binadamu atakosa kazi.
Hakuna mtu anapinga AI bali tunaelezana ukweli.
Mkuu swala la teknolojia huwa linahitaji uangalifu sana kulielezea ... Katika kuelezea teknolojia neno 'Si' au 'haitokuja' ina maanisha ni impossible , na hapo tayari ushaiwekea limitations akili ya binadamu... maoni yako yamezingatia muda mfupi sana lakini kwa wanaofikiria mbali watakwambia kila kitu kinawezekana , kama ilivyo kwa kila kitu kuwa katika Progress ni hivyo hivyo akili ya binadamu ipo katika hatua ya ukuaji, wewe unasema AI haiwezi kumfikia binadamu hata moja katika mia lakini ni binadamu huyo huyo anafikiria kuiwezesha akili bandia kufikia 50 katika 100 ,.maana yake ni nini , kuna mazingira binadamu hawezi kuishi lakini bado anataka kujiwezesha kuishi katika hayo mazingira , mfano sayari nyingine na N.K , Huo unakuwa ni msukumo ambao unamfanya bjnadamu afikirie kila njia kuiwezesha akili bandia kuwa na ufanisi kama wa binadamu kwa asilimia kubwa ili kwenda kumsaidia kuwezesha mazingira ili aoate nafasi ya kuishi huko , hapa sasa tunaongelea miaka 150 au 200 ijayo ambayo mimi na wewe tushakuwa wafu muda mrefu.AI ni fursa nakubali kwa investors na wanaotaka kutengeneza bidhaa za AI.
AI ni tool itakayorahisisha kazi.
AI haito replace kazi za mwanadamu kwa ufanisi mkubwa, cause ni machine inafanya soecific tasks, ile movie imetoka inaitwa the creator zile ni story.
Hilo jina AI ni misleading.
Zitatokea robots lakini si kufikia capabilities za mwanadamu hata 1 ya 100.
Wanasayansi wanakiri ni rahisi kutengeneza AI itakayofanya task flani anayoweza fanya mtu mzima kama typing n.k lakini ni ngumu sana kuipa AI uwezo wa akili na kujitambua sawa na mtoto wa mwaka mmoja.Napia AI ili impite mwanadamu inatakiwa iwe na uwezo wa kuzaliana kama mwanadamu
Kwamba AI ifike nusu ya akili ya mwanadamu.Mkuu swala la teknolojia huwa linahitaji uangalifu sana kulielezea ... Katika kuelezea teknolojia neno 'Si' au 'haitokuja' ina maanisha ni impossible , na hapo tayari ushaiwekea limitations akili ya binadamu... maoni yako yamezingatia muda mfupi sana lakini kwa wanaofikiria mbali watakwambia kila kitu kinawezekana , kama ilivyo kwa kila kitu kuwa katika Progress ni hivyo hivyo akili ya binadamu ipo katika hatua ya ukuaji, wewe unasema AI haiwezi kumfikia binadamu hata moja katika mia lakini ni binadamu huyo huyo anafikiria kuiwezesha akili bandia kufikia 50 katika 100 ,.maana yake ni nini , kuna mazingira binadamu hawezi kuishi lakini bado anataka kujiwezesha kuishi katika hayo mazingira , mfano sayari nyingine na N.K , Huo unakuwa ni msukumo ambao unamfanya bjnadamu afikirie kila njia kuiwezesha akili bandia kuwa na ufanisi kama wa binadamu kwa asilimia kubwa ili kwenda kumsaidia kuwezesha mazingira ili aoate nafasi ya kuishi huko , hapa sasa tunaongelea miaka 150 au 200 ijayo ambayo mimi na wewe tushakuwa wafu muda mrefu.
Kwa mazingira ya sasa ni kweli AI haijapiga hatua lakini hicho sio kikwazo ila ni hatua..
Huzuni, furaha, wivu nk.. siyo akili bali ni hisia..Kwamba AI ifike nusu ya akili ya mwanadamu.
Huzuni, furaha, wivu, kupenda, kuchukia, kuota ndoto, kutamani n.k..
Dah, niseme tu AI kufikia hizo level itaanza vita na mwanadamu hapo ndipo tunarudi kwenye filamu kama terminator n.k, ni fiction tu mkuu.