Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Huo ni ukweli kwa wanawake asilimia kubwa wanaotoka nje ya ndoa. Huwa hawacheat; wanapenda! Kwa hiyo usiombe mkeo atoke nje jua umemkosa kimoja. Wanaume ndio wanacheza hako kamchezo kama kunywa maji; kwa mwanamke possiblity ya kutokomea ni kubwa saana.
Mimi hili nakupinga kabisa. Wapo wanawake wengi tu wanaochiti ambao hawataki kubadili hali zao za kiunyumba. Mimi ni mwanachama wa AFFAIRS GUARANTEED - Cheating Partners Have An Affair Married Dating. Huu ni mtandao wa watu wanaotaka kuwa na affairs kisirisiri.
Nilijiunga baada ya kuusikia sana ukiwa unatangazwa. The curious George in me said ' let me sign up and check it out'. And sure I did. Kila mara huwa napokea profiles za wake za watu ambao wanatafuta affairs. Katika observation yangu nimeona wapo wanawake wengi sana wanaocheat lakini bado wanasema wanawapenda waume zao. Moja ya masharti yao huwaga ni "I don't want to change my situation and neither do I want to change yours."
Pia wengi huwaga wanasema "I don't want to leave my husband but I need someone to fill what I'm missing at home"! Wengine wanacheat kwa ajili ya thrill tu. Sasa mimi nataka kujua hiyo asilimia kubwa yako ya wanaopenda ni ngapi katika mlinganyo wa asilimia 100.
Na hii sijatunga. Ukitaka ninaweza kabisa kukufowadia hizo barua pepe za profiles zao. It is unbelievable what people do.