MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter

- #221
The Boss kama ungechukua muda kunisoma vizuri ungenielewa nilikuwa na maana gani! Huyu mdada kwa jinsi situation ake ilivyokuwa na jinsi mumewe alivyobadilika sikutegemea kama silaha hii ndio imeleta amani ndani ya ndoa hii!kimsingi mimi na wewe tunakubaliana hapa..

sasa mimi anaenishangaza hapa,ukiona michango yangu ya page no 1

ni mj1

aliposema hakuamini mwenzie katafuta faraja nje....

its funny kwa sababu,thats how women do...

mj1 alikuwa anatufanyia usanii na yeye..lol
Halafu sasa huu mtandao wa Ashley Madison si Marekani tu. Ni wa dunia nzima. Ukitaka hook up na mtu aliyeko nchi nyingine basi unajiunga na kuchagua geographical location unayotaka kuwa na hiyo affair halafu wao wanafanya kazi ya kuku-match na wanaoendana na profile yako.
Na una wanachama mamilioni na kila siku wanajiunga wanachama wapya. Hapo ndipo ujue when it comes to cheating, both men and women are neck and neck. Hakuna wanaocheat zaidi ya wenzao in my humble opinion.
Kuna mails fulani nilikuwa napata kama junk mails. Ni kama face book fulani. Sasa nikawa curious kutaka kujoin. The problem is wanataka uweke picha yako ili uweze kuview za wengine. Nikautilia shaka huo mtandao nikapiga chini na kublock hizo mails. Afu wanakuonyesha picha za watu kiduuchu ili sijuhi uvutiwe kujiunga? Ila aliye ni invite namjua (could be a member) ndio maana nika bother hata kuupeleleza kidogo. Sikumbuki jina la huo mtandao ni wa Bongo lakini. But most of those I saw sidhani kama ni wake za watu maana wanaweka majina na wanapokaa saying that they are looking for friends. Yani kama wanatafuta pen pal fulani. Sasa pen pal wa karibu jamani?? Mh!
Yeah komredi hili bonge la nondo
Alafu wanawake wengi wana cheat kizembe sana.
Wakati mumewe anamcheat hakuwa shetani eeh! leo mwanamke katoka nje kutafuta faraja amekuwa shetani...lol! Mkuki kwa Nguruwe......
That was a rhetorical question. I ain't no spring chicken. I'm a seasoned veteran.
Huyo mwanamke amelipiza kwa ubaya ni kicheche tu huyo mshefa akimtosa si atatafuta faraja sehemu ingine tena hajatulia.
Kumbe eeh!
Sidhani kama huo ulikuwa ni Ashley Madison. AM ni mtandao wa watu wa ukweli kabisa. Hebu ona hii profile ya huyu mmama kwa ufupi. Ukitaka details nipe email yako nikufowadie uone jinsi wanawake nao wanavyocheat. Hahahahaaa ulimwengu huu bana wee acha tu.
[TD="colspan: 5"] [/TD]
[TD="width: 10"][/TD]
[TD="width: 157"] 40 years old - Atlanta, Georgia
Seeking an exciting affair
Attached Female seeking Males
Fit,
5'2" (157cm)
Email Now!
[/TD]
[TD="width: 5"][/TD]
Kwa hiyo wale wanaotaka wanaume/wanawake wa kidhungu aah, umerahisisha kazi. Ila wadhungu ni noma. Kuna watu eti waweza kuwalipa (online) ili ku talk sex (sijuhi kama nimepatia wanavyoita wenyewe) kuna mwalimu mmoja alianza hizo story class from nowhere. Eti unakuta mdada yuko jikoni anapika huku simu iko mkononi ela inaingia. Lol. Ndio maana huko ndoa hazidumu maana service everywhere!
i will back....................
na mume naye aliyelianzisha ni nani, mwewe?
Nyumba Kubwa, huu mtandao wa AM una watu wa aina zote. Ila ni heterosexuals tu. Kwa hiyo ukitaka ku hook na wazungu unaweza, weusi unaweza, orientals unaweza, latinos unaweza, middle easterners unaweza. Yaani ni preferences zako tu.
Halafu kuna watu bado wanabisha eti internet haijarahisisha hayo mambo ya adultery na infidelity. Natamanigi sana moja ya stesheni za Tanzania zianze kukionyesha kile kipindi cha Cheaters.
I'm sure it will broaden a lot of people's horizons with regards to love and relationships.
Nyumba Kubwa, huu mtandao wa AM una watu wa aina zote. Ila ni heterosexuals tu. Kwa hiyo ukitaka ku hook na wazungu unaweza, weusi unaweza, orientals unaweza, latinos unaweza, middle easterners unaweza. Yaani ni preferences zako tu.
Halafu kuna watu bado wanabisha eti internet haijarahisisha hayo mambo ya adultery na infidelity. Natamanigi sana moja ya stesheni za Tanzania zianze kukionyesha kile kipindi cha Cheaters.
I'm sure it will broaden a lot of people's horizons with regards to love and relationships.
Watawezaje ku controll members wawe heterosexual. Kwani kuna ID ya ya kuwabaini homosexuals? Mbona naona kama impossible.
Ni kwamba huwezi ukabandika profile ambayo unatafuta mwanamke mwenzako au mwanaume mwenzako. Ukiweka hivyo wanaifuta. Sasa hiyo haimaanishi wote wanaoweka profiles zao humo ni heterosexuals. Huenda hata bisexuals wamo, bicurious wamo, au hata homosexuals wamo. Lakini ile ni sehemu ya heterosexuals kukutana na kutafuta affairs.
wabongo siwaoni,wapo??????
MJ ushamwambia shogako mawazo ya wanaJF??