MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
- #221
The Boss kama ungechukua muda kunisoma vizuri ungenielewa nilikuwa na maana gani! Huyu mdada kwa jinsi situation ake ilivyokuwa na jinsi mumewe alivyobadilika sikutegemea kama silaha hii ndio imeleta amani ndani ya ndoa hii!kimsingi mimi na wewe tunakubaliana hapa..

sasa mimi anaenishangaza hapa,ukiona michango yangu ya page no 1

ni mj1

aliposema hakuamini mwenzie katafuta faraja nje....

its funny kwa sababu,thats how women do...

mj1 alikuwa anatufanyia usanii na yeye..lol
Besides nimeshangaa kwa kuwa tunatofautiana katika kuhandle matatizo ya namna hii, bahati mbaya katika situation kama hii mimi ningechukua mlengo mwingine kabisa tofauti na mdada huyu