Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
savant??????????
Yeah, savant! Don't you think he is?
i know who a guru is..
savant?????meaning??????
Ooh my bad...it's a person who knows a lot about a particular subject, e.g. a legal savant, a computer savant, etc.
Mbu knows a lot about love and relationships.
wewe unadhani mtu keshazoea lyanga-lyanga 20 years leo unamvalisha plastiki anakubali?? tena haya mambo haya balaa sana
Dawa ni kuvaa, kuvaa na kuvaaa.... je utavaa ndani ya nyumba pia??
Na kama mtu ana mshefa - do you think mshefa anavaa??
jamani nimecheka sana hii lyangalyanga nimekumbuka jamaa mmoja huiita 'yango na yango' hii mada imenigusa sana, jamani mwanzoni huwa tunavaa, baadae taratibu tunajitia tumezoeana na kuaminiana tunaanza kuachana nazo taratibuuu na hata siku utakayoukwaa hutaijui utastukia tu magonjwa nyemelezi yanajiinua kila kukicha..... ukweli natamani kuacha mpango wa kando lakni nikifikiri utamu wake mmmmh nashindwa... tuko wengi jamani tuombeane tu, mboga moja kila siku inachosha jamaniiii ... uugh LORD HAVE MERCY
Haya mambo hayana formula mkuu, unaweza fanya vyote lakini bado tu, nafikiri tu dunia imeharibika, dhambi zimekuwa nyingiUshauri wangu u tofauti kidogo;
1; achunguze nini kilimfanya mwanaume acheat in the 1st place, akishagundua ajiulize
2; je ni mwanaume kajirudi au kapigwa kibuti?
3; mwisho anatakiwa kuevaluate kama kuna punje ya Penzi iliyobaki kwa mumewe
Kama hakuna then aweigh kati ya family na happiness yake ipi ina uzito kwake YEYE nimecapitalize yeye kwa sababu wanawake wengi hatuishi kwa ajili yetu!
Wito wangu kwa nyie viumbe wa kiume! Wanawake tunajua both kupenda sana na kuhate sana; machaguo ni kwenu!
uwii mbavu zangu mie nimekumbuka mbaaaali sana boss... nacheka hd mume ananishtukia mmh mitandao hii nayo ina mambo!etutanaa yango na yango...
haziumani nyama na nyama lol
bht; Mbu nimekubaliana na wewe kwenye hilo la mfariji, time is a healer...sawa na nimependa zaidi hapo uliposema kwa anayejua atahari za haya mambo hatothubutu kabisa kumnyanyasa mke wake...(hata wanawake hawatathubutu kuwanyanyasa waume zao kadhalika)
Sasa MBU kwa case hii hapa mkononi, MFARIJI naye ni mume wa mtu, huyo dada MFARIJIWA kilichomfikisha hapo ni pamoja na mume kutembea nje ya ndoa.
JE, yeye naye haoni atampa mwanamke wa MFARIJI wake mataeso endapo atajua mumewe anatembea nje ya ndoa? (nilimuuliza MJ1 kama mke wa MFARIJI naye anataarifa sikupata jibu)
Huyu MFARIJIWA anaona yeye anasbabu ya kumfanyia hivo mwanamke mwenzie?
Ndo hapo napoona watu wanashindwa kuangalia upande wa pili, Wanaona huyo Mfarijiwa ni haki yake kupate hilo faraja kutoka kwa mume wa mtu huku naye anasababisha ndoa ya mwanamke mwenzake kuharibika. Kama yeye alivyokuwa analalamika pindi mumewe alipomtelekeza akiwa na wanawake wengine huko ndiyo hayo hayo maumivu anayompa huyo mke wa mfariji. Huyo mdada mfarijiwa Aangalie kama yeye analofanya ni haki kwa mke wa Mfariji na kuona kuwa ni vigumu kurudi kurudisha penzi kwa mumewe.
Huyo mwanamke amelipiza kwa ubaya ni kicheche tu huyo mshefa akimtosa si atatafuta faraja sehemu ingine tena hajatulia.
Fide kosa limeshatendeka hebu acheni kumuhukumu mara nyingi msaidieni arudishe hisia na mapenzi ya dhati kwa mumewe. Angekuja mwanaume hapa na kilio cha kunyenyeswa na mutendwa na mkewe mngemshauri atafute nyumba ndogo ila mwanamke ah ni kicheche!! hii jamii yetu hii, nawaombeni wanawake wenzangu tujifunze kuishi nayo hivi hivi!
MwanajamiiOne, I don't think there is any trick to it on how she can rekindle her love for her husband. There is an English maxim that goes like this; absence makes the heart grow fonder.
What I would suggest is for them to live apart. Let them separate, legal separation that is. After sometime, if her feelings are genuine she will go back to him provided he is wiling to take her back. This is a tried-and-true method of rekindling romantic relationships that have petered out.
El Toro! ....poleWomen are satan's playing ground the more you go deep into them....<br />
<br />
Haya mambo ya cheating yasikie tu kwenye bomba usiombe yakakukuta mie nishakula Tigo ya mgoni sio kwa kupenda bali ilinilazimu na sikusikia raha yoyote ila nilitoa hasira zangu we acha tu
Fide kosa limeshatendeka hebu acheni kumuhukumu mara nyingi msaidieni arudishe hisia na mapenzi ya dhati kwa mumewe. Angekuja mwanaume hapa na kilio cha kunyenyeswa na mutendwa na mkewe mngemshauri atafute nyumba ndogo ila mwanamke ah ni kicheche!! hii jamii yetu hii, nawaombeni wanawake wenzangu tujifunze kuishi nayo hivi hivi!
Na kama mtu ana mshefa - do you think mshefa anavaa??
Fide kosa limeshatendeka hebu acheni kumuhukumu mara nyingi msaidieni arudishe hisia na mapenzi ya dhati kwa mumewe. Angekuja mwanaume hapa na kilio cha kunyenyeswa na mutendwa na mkewe mngemshauri atafute nyumba ndogo ila mwanamke ah ni kicheche!! hii jamii yetu hii, nawaombeni wanawake wenzangu tujifunze kuishi nayo hivi hivi!