Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Ooh my bad...it's a person who knows a lot about a particular subject, e.g. a legal savant, a computer savant, etc.

Mbu knows a lot about love and relationships.

its almost the same meaning with guru i see...
mbu knows thru experience i guess.....
 
Aachane na huyo mwanaume wa pembeni na arudishe penzi kwa mumewe.ni ngumu lakini inabidi iwe hivyo ili kuendeleza ndoa yake halali.
 
wewe unadhani mtu keshazoea lyanga-lyanga 20 years leo unamvalisha plastiki anakubali?? tena haya mambo haya balaa sana

Dawa ni kuvaa, kuvaa na kuvaaa.... je utavaa ndani ya nyumba pia??

Na kama mtu ana mshefa - do you think mshefa anavaa??

jamani nimecheka sana hii lyangalyanga nimekumbuka jamaa mmoja huiita 'yango na yango' hii mada imenigusa sana, jamani mwanzoni huwa tunavaa, baadae taratibu tunajitia tumezoeana na kuaminiana tunaanza kuachana nazo taratibuuu na hata siku utakayoukwaa hutaijui utastukia tu magonjwa nyemelezi yanajiinua kila kukicha..... ukweli natamani kuacha mpango wa kando lakni nikifikiri utamu wake mmmmh nashindwa... tuko wengi jamani tuombeane tu, mboga moja kila siku inachosha jamaniiii ... uugh LORD HAVE MERCY
 
etutanaa yango na yango...

haziumani nyama na nyama lol
 
Ushauri wangu u tofauti kidogo;
1; achunguze nini kilimfanya mwanaume acheat in the 1st place, akishagundua ajiulize
2; je ni mwanaume kajirudi au kapigwa kibuti?
3; mwisho anatakiwa kuevaluate kama kuna punje ya Penzi iliyobaki kwa mumewe

Kama hakuna then aweigh kati ya family na happiness yake ipi ina uzito kwake YEYE nimecapitalize yeye kwa sababu wanawake wengi hatuishi kwa ajili yetu!

Wito wangu kwa nyie viumbe wa kiume! Wanawake tunajua both kupenda sana na kuhate sana; machaguo ni kwenu!
Haya mambo hayana formula mkuu, unaweza fanya vyote lakini bado tu, nafikiri tu dunia imeharibika, dhambi zimekuwa nyingi
hata yale mabaya tuyafanyayo hatuoni mabaya tena, tunaona kama ni haki yetu, visasi wengine, upweke sijui nini tufanye watu tuishi kwa amani
 
bht; Mbu nimekubaliana na wewe kwenye hilo la mfariji, time is a healer...sawa na nimependa zaidi hapo uliposema kwa anayejua atahari za haya mambo hatothubutu kabisa kumnyanyasa mke wake...(hata wanawake hawatathubutu kuwanyanyasa waume zao kadhalika)

Sasa MBU kwa case hii hapa mkononi, MFARIJI naye ni mume wa mtu, huyo dada MFARIJIWA kilichomfikisha hapo ni pamoja na mume kutembea nje ya ndoa.

JE, yeye naye haoni atampa mwanamke wa MFARIJI wake mataeso endapo atajua mumewe anatembea nje ya ndoa? (nilimuuliza MJ1 kama mke wa MFARIJI naye anataarifa sikupata jibu)
Huyu MFARIJIWA anaona yeye anasbabu ya kumfanyia hivo mwanamke mwenzie?

Ndo hapo napoona watu wanashindwa kuangalia upande wa pili, Wanaona huyo Mfarijiwa ni haki yake kupate hilo faraja kutoka kwa mume wa mtu huku naye anasababisha ndoa ya mwanamke mwenzake kuharibika. Kama yeye alivyokuwa analalamika pindi mumewe alipomtelekeza akiwa na wanawake wengine huko ndiyo hayo hayo maumivu anayompa huyo mke wa mfariji. Huyo mdada mfarijiwa Aangalie kama yeye analofanya ni haki kwa mke wa Mfariji na kuona kuwa ni vigumu kurudi kurudisha penzi kwa mumewe.

NGO ni kweli kabisa ukisemacho but nadhani ni upotofu tu wa mada kwani tangu mwanzo nimeainisha kuwa mdada ameshagundua kosa lake na anajaribu kujinasua ila sasa ndo hisia zishazama kwenye penzi la wizi hazitaki kurudi kwa mume loh................kama anataka zirudi!
 
Huyo mwanamke amelipiza kwa ubaya ni kicheche tu huyo mshefa akimtosa si atatafuta faraja sehemu ingine tena hajatulia.

Fide kosa limeshatendeka hebu acheni kumuhukumu mara nyingi msaidieni arudishe hisia na mapenzi ya dhati kwa mumewe. Angekuja mwanaume hapa na kilio cha kunyenyeswa na mutendwa na mkewe mngemshauri atafute nyumba ndogo ila mwanamke ah ni kicheche!! hii jamii yetu hii, nawaombeni wanawake wenzangu tujifunze kuishi nayo hivi hivi!
 
MwanajamiiOne, I don't think there is any trick to it on how she can rekindle her love for her husband. There is an English maxim that goes like this; absence makes the heart grow fonder.

What I would suggest is for them to live apart. Let them separate, legal separation that is. After sometime, if her feelings are genuine she will go back to him provided he is wiling to take her back. This is a tried-and-true method of rekindling romantic relationships that have petered out.
 
Sweetie, though this sounds like a pill bitter to swallow but I couldnt agree with you more, only if he will be willing to take her back but also the distance between the madam and mshefa must be there
 
Tatizo ni kwamba dada anashindwa kuiambia nafsi yake basi coz akifanya hivyo huyo jamaa wa pembeni anamdanganya.naomba huyo dada aiambie nafsi yake basi then aachane na huyo jamaa na asiwe na mawasiliano naye kabisa,amkimbie kabisa.halafu aanze kumfikiria mumewe muda wote,ampigie simu mara kwa mara,aanze kumtumia sms za mapenzi mumewe tena kwa kuzitunga yeye mwenyewe,muhimu kuliko vyote ni kutafuta hisia za ndani kabisa za mapenzi na mumewe,abadili mitindo ya kufanya sex na amshirikishe mumewe katika maandalizi ya tendo,asiwaze vinginevyo ila mumewe tu na kama hajalizishwa amwambie mumewe na atamtekelezea.amuache buzi wake kabisa.
 
Women are satan's playing ground the more you go deep into them....

Haya mambo ya cheating yasikie tu kwenye bomba usiombe yakakukuta mie nishakula Tigo ya mgoni sio kwa kupenda bali ilinilazimu na sikusikia raha yoyote ila nilitoa hasira zangu we acha tu
 
Women are satan's playing ground the more you go deep into them....<br />
<br />
Haya mambo ya cheating yasikie tu kwenye bomba usiombe yakakukuta mie nishakula Tigo ya mgoni sio kwa kupenda bali ilinilazimu na sikusikia raha yoyote ila nilitoa hasira zangu we acha tu
El Toro! ....pole
 
Fide kosa limeshatendeka hebu acheni kumuhukumu mara nyingi msaidieni arudishe hisia na mapenzi ya dhati kwa mumewe. Angekuja mwanaume hapa na kilio cha kunyenyeswa na mutendwa na mkewe mngemshauri atafute nyumba ndogo ila mwanamke ah ni kicheche!! hii jamii yetu hii, nawaombeni wanawake wenzangu tujifunze kuishi nayo hivi hivi!

Shem! hii sredi sikuweza kuisoma yote kutokana na muda kubana, lakini at least nimeisoma hii post yako nilioiquote, unfortunately hiyo red haihitaji ushauri inahitaji uamuzi! mwambie akumbuke hisia zilizomfanya akafall kwa mumewe at first place kisha azirewind!

Halaf japo umesema tusimhukumu huyu mdada lakini mimi nitazidi kumhukumu na kudadisi! Hivi una uhakika gani MJ1 kwamba huyu mdada alimtafuta huyo "mshefa" kwa ufariji? akili yangu inaniambia "ufariji" ni excuse tu iliotumika katika hii kesi, na inawezekana kabla ufariji kuhitajika palifanywa ufariji, huu ni muendelezo tu. The Boss ameeleza mengi ya msingi kuhusu wanawake kwenye hii sredi.
Amiiin nawaambieni kama mtaunganisha hii post yangu na yale aliosema The Boss kuhusu wanawake mtaelewa nakusudia nini!

Enhee tuendeleeni......
 
Fide kosa limeshatendeka hebu acheni kumuhukumu mara nyingi msaidieni arudishe hisia na mapenzi ya dhati kwa mumewe. Angekuja mwanaume hapa na kilio cha kunyenyeswa na mutendwa na mkewe mngemshauri atafute nyumba ndogo ila mwanamke ah ni kicheche!! hii jamii yetu hii, nawaombeni wanawake wenzangu tujifunze kuishi nayo hivi hivi!

Hapa tumeweka wazi kwa nini yeye amelipiza jambo baya kwa ubaya?
Haya mwanaume amejirekebisha kwa nini anang'ang'ania penzi la mshefa? Au mshefa ana tigolize?
Na kama ana tigolize mshefa huyo mama si akae na mmewe amwambie au wkt wa chakula cha usiku atelezeshee mahala stahiki baadae mmewe atazoea ataenda na biti. Mmewe ametulia ameona ufuska sio ishu bora atulie na wake nyumbani alafu mwanamke nae anang'ang'ania kwa mshefa kama kanogewa na penzi la mshefa aombe talaka akawe mke wa pili kwa huyo mshefa.
 
Back
Top Bottom