si kweli,she can keep both of them.............mbona ndoa za mitala wanaume wanaweza kuwa na wake wawili ? wanawezaje?........huyu mshefa yeye hayuko full time kwa sababu ana mke,mie sioni litakalomshinda huyu dada kuwa nao wote wawili mpaka hapo moyo wake utakapochagua kuwa na mmoja.LOL
<br />can we?<br />
me and you...cheat.?.lol
Mara nyingi watu waliopo katika situation kama hizo hua tayari wanajua deep down ni nini anataka.... kuomba ushauri inakua kama tu a way ya kuoanisha ushauri anaopewa na kile anachokitaka... IMO kama huyo dada atathubutu kumuacha mumewe awe na huyo the so called mshefa akiamini ndio atakua na amani as a result of the love in between atachemka...
MJ1 mwambie akumbuke kua huyo mshefa anaonekana ni fun sababu ni stolen kisses and Sex (hio hujenga saana exitement mpaka ile euphoria you feel usipoangalia waweza changanya na mapenzi ya dhati...) Ni mara chache mno mwanaume ambae anatembea na mke wa mtu kutaka kumuoa huyo mwanamke akiachika - for the simple reason kua; anatahisi akiwa nae ka vile atatoka na other guys.... mkuki kwa nguruwe.... Na ukizingatia the hubby has changed for the better... Yaani kweli tell her to choose wisely, na ajiulize kama huyo mshefa mume wa mtu katoka nje, kitu gani kitamzuia kutoka akiwa nae - na ikiwa hivo, why not just stick to the hubby??
Maisha gani hayo, mke wa mtu ana mshefa. Mshefa nae ni mume wa mtu lakini acheat na mke wa mtu. Kibaya zaidi na wewe dada una-support hilo!! Umenihuzunisha sana!!
Kuna maradhi ya zinaa yasiokuwa na tiba kama Ukimwi, Herpes etc.
Dunia ya leo imekwisha na hakuna morals tena. Just because your husband/wife cheats on you, it should not give you a reason to do the same. Mungu atunusuru[/
magonjwa sio wanaotembea na mashefa ndio wanayapata,kuna watu wametulia ndoani na bado wakaletewa...tumuombe mungu tu,siku hizi hamna morals kabisaa,sio kwenye cheating peke yake....kuna utoaji mimba,ufataki,hadi ufisadi lol... honestly pole kama nimekukwaza
...sio zito kivile.
'Mshefa' angekuwa hana mke,...ningekuwa na ushauri mwingine.
Mume amejirudi, na mke amekiri mapungufu yake katika ile tapatapa ya
kutafuta maliwazo,...
...mshauri; hana haja tena ya kendelea kushikilia fire extinguisher ilhali moto ushazima.
<br />Mshauri aendelee na Mshefa - Ndoa za siku hizi "<b>nyumba ndogo</b>" na "<b>vidumu</b>" ni muhimu sana!
Mara nyingi watu waliopo katika situation kama hizo hua tayari wanajua deep down ni nini anataka.... kuomba ushauri inakua kama tu a way ya kuoanisha ushauri anaopewa na kile anachokitaka... IMO kama huyo dada atathubutu kumuacha mumewe awe na huyo the so called mshefa akiamini ndio atakua na amani as a result of the love in between atachemka...
MJ1 mwambie akumbuke kua huyo mshefa anaonekana ni fun sababu ni stolen kisses and Sex (hio hujenga saana exitement mpaka ile euphoria you feel usipoangalia waweza changanya na mapenzi ya dhati...) Ni mara chache mno mwanaume ambae anatembea na mke wa mtu kutaka kumuoa huyo mwanamke akiachika - for the simple reason kua; anatahisi akiwa nae ka vile atatoka na other guys.... mkuki kwa nguruwe.... Na ukizingatia the hubby has changed for the better... Yaani kweli tell her to choose wisely, na ajiulize kama huyo mshefa mume wa mtu katoka nje, kitu gani kitamzuia kutoka akiwa nae - na ikiwa hivo, why not just stick to the hubby??
Mwambie mshefa ndo mpango mzima..!mume mume mume kitu gani!
Boss, wewe anika contacts zako hapa uone nini kitafuatia baada ya kutangaza hilonajitolea kuwa mshefa kwa wadada woote wa jf lol
we Jestina we, haya!si kweli,she can keep both of them.............mbona ndoa za mitala wanaume wanaweza kuwa na wake wawili ? wanawezaje?........huyu mshefa yeye hayuko full time kwa sababu ana mke,mie sioni litakalomshinda huyu dada kuwa nao wote wawili mpaka hapo moyo wake utakapochagua kuwa na mmoja.LOL