Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

si kweli,she can keep both of them.............mbona ndoa za mitala wanaume wanaweza kuwa na wake wawili ? wanawezaje?........huyu mshefa yeye hayuko full time kwa sababu ana mke,mie sioni litakalomshinda huyu dada kuwa nao wote wawili mpaka hapo moyo wake utakapochagua kuwa na mmoja.LOL

Maisha gani hayo, mke wa mtu ana mshefa. Mshefa nae ni mume wa mtu lakini acheat na mke wa mtu. Kibaya zaidi na wewe dada una-support hilo!! Umenihuzunisha sana!!
Kuna maradhi ya zinaa yasiokuwa na tiba kama Ukimwi, Herpes etc.
Dunia ya leo imekwisha na hakuna morals tena. Just because your husband/wife cheats on you, it should not give you a reason to do the same. Mungu atunusuru
 
Mara nyingi watu waliopo katika situation kama hizo hua tayari wanajua deep down ni nini anataka.... kuomba ushauri inakua kama tu a way ya kuoanisha ushauri anaopewa na kile anachokitaka... IMO kama huyo dada atathubutu kumuacha mumewe awe na huyo the so called mshefa akiamini ndio atakua na amani as a result of the love in between atachemka...

MJ1 mwambie akumbuke kua huyo mshefa anaonekana ni fun sababu ni stolen kisses and Sex (hio hujenga saana exitement mpaka ile euphoria you feel usipoangalia waweza changanya na mapenzi ya dhati...) Ni mara chache mno mwanaume ambae anatembea na mke wa mtu kutaka kumuoa huyo mwanamke akiachika - for the simple reason kua; anatahisi akiwa nae ka vile atatoka na other guys.... mkuki kwa nguruwe.... Na ukizingatia the hubby has changed for the better... Yaani kweli tell her to choose wisely, na ajiulize kama huyo mshefa mume wa mtu katoka nje, kitu gani kitamzuia kutoka akiwa nae - na ikiwa hivo, why not just stick to the hubby??

Hapo kwenye red and black yaani ni ukweli 110%. Thanks AshaDii
 
Maisha gani hayo, mke wa mtu ana mshefa. Mshefa nae ni mume wa mtu lakini acheat na mke wa mtu. Kibaya zaidi na wewe dada una-support hilo!! Umenihuzunisha sana!!
Kuna maradhi ya zinaa yasiokuwa na tiba kama Ukimwi, Herpes etc.
Dunia ya leo imekwisha na hakuna morals tena. Just because your husband/wife cheats on you, it should not give you a reason to do the same. Mungu atunusuru[/

magonjwa sio wanaotembea na mashefa ndio wanayapata,kuna watu wametulia ndoani na bado wakaletewa...tumuombe mungu tu,siku hizi hamna morals kabisaa,sio kwenye cheating peke yake....kuna utoaji mimba,ufataki,hadi ufisadi lol... honestly pole kama nimekukwaza
 
Ushauri wangu u tofauti kidogo;
1; achunguze nini kilimfanya mwanaume acheat in the 1st place, akishagundua ajiulize
2; je ni mwanaume kajirudi au kapigwa kibuti?
3; mwisho anatakiwa kuevaluate kama kuna punje ya Penzi iliyobaki kwa mumewe

Kama hakuna then aweigh kati ya family na happiness yake ipi ina uzito kwake YEYE nimecapitalize yeye kwa sababu wanawake wengi hatuishi kwa ajili yetu!

Wito wangu kwa nyie viumbe wa kiume! Wanawake tunajua both kupenda sana na kuhate sana; machaguo ni kwenu!
 
Mwambie mshefa ndo mpango mzima..!mume mume mume kitu gani!
 
Kwa jinsi mapenzi yalivomkolea hata tukimshauri kazi bure, mwambie tu aamue either mume au mshefa
 
...sio zito kivile.

'Mshefa' angekuwa hana mke,...ningekuwa na ushauri mwingine.
Mume amejirudi, na mke amekiri mapungufu yake katika ile tapatapa ya
kutafuta maliwazo,...

Fire-Extinguisher-Cartoon.jpg
...mshauri; hana haja tena ya kendelea kushikilia fire extinguisher ilhali moto ushazima.

Sweetheart, hapo sasa ndo pagumu maana jamaa ana mkewe tena sometimes anamblackmail .......akiona huyu mmama anaweka distance tu basi huyoo naye keshaibuka hata kama alikuwa amesinzia anaamka huko aliko na kuanza kumkumbushia jinsi alivyom'console' wakati mumewe anamchanganya kiasi kwamba it causes a lot of problems kwa Mshefa na mkewe!!!! yaani ni kama vile huyu Mshefa naye amedata hivi!
 
Excellent advise! Very well said.

Mara nyingi watu waliopo katika situation kama hizo hua tayari wanajua deep down ni nini anataka.... kuomba ushauri inakua kama tu a way ya kuoanisha ushauri anaopewa na kile anachokitaka... IMO kama huyo dada atathubutu kumuacha mumewe awe na huyo the so called mshefa akiamini ndio atakua na amani as a result of the love in between atachemka...

MJ1 mwambie akumbuke kua huyo mshefa anaonekana ni fun sababu ni stolen kisses and Sex (hio hujenga saana exitement mpaka ile euphoria you feel usipoangalia waweza changanya na mapenzi ya dhati...) Ni mara chache mno mwanaume ambae anatembea na mke wa mtu kutaka kumuoa huyo mwanamke akiachika - for the simple reason kua; anatahisi akiwa nae ka vile atatoka na other guys.... mkuki kwa nguruwe.... Na ukizingatia the hubby has changed for the better... Yaani kweli tell her to choose wisely, na ajiulize kama huyo mshefa mume wa mtu katoka nje, kitu gani kitamzuia kutoka akiwa nae - na ikiwa hivo, why not just stick to the hubby??
 
najitolea kuwa mshefa kwa wadada woote wa jf lol
 
SHERRIF ARPAIO :Maisha gani hayo, mke wa mtu ana mshefa. Mshefa nae ni mume wa mtu lakini acheat na mke wa mtu. Kibaya zaidi na wewe dada una-support hilo!! Umenihuzunisha sana!! Kuna maradhi ya zinaa yasiokuwa na tiba kama Ukimwi, Herpes etc.Dunia ya leo imekwisha na hakuna morals tena. Just because your husband/wife cheats on you, it should not give you a reason to do the same. Mungu atunusuru

Mkuu dunia hii imeharibika sana, huwa nikiona mtu anashabikia hii tabia nasikitika sana nakuona dunia hii tunaelekea wapi. Utashangaa watu wana watoto lakini wanakuwa wabinafsi na kutojari gharama watakazosababisha kwa watoto km wakiachana au kupata magonjwa yasiyokuwa na tiba.

Jestina: magonjwa sio wanaotembea na mashefa ndio wanayapata,kuna watu wametulia ndoani na bado wakaletewa...tumuombe mungu tu,siku hizi hamna morals kabisaa,sio kwenye cheating peke yake....kuna utoaji mimba,ufataki,hadi ufisadi lol... honestly pole kama nimekukwaza.

Jestina huwa nikisoma post zako huwa nakuona kama mtu aliyejiachia na kukata taama ya maisha vile....samahani kma utakuwa offended katika hili. Kutojurikana hapa kwa majina yetu haina maana basi ndo tutoe michango iliyo na mmomonyoko wa maadiri. Tupo hapa kufundishana na kuelimishana kuboresha maisha katika familia zetu au km bado single basi ukajifunze jinsi gani ya kupambana na changamoto zilizoko katika maisha ya ndoa na siyo kuzidi kuharibika zaidi. Tuweni na hofu ya Mungu maisha ni mazuri na matamu. Kama huamini basi jiachie uukwaye kama hutotamani siku zirudishwe nyuma ubadili mienendo yako.
 
Lisa Rina; Mwambie mshefa ndo mpango mzima..!mume mume mume kitu gani!

Wasiokuwa na waume, Wanaoiba waume za watu, walioachwa au waliona matatizo kwenye mahusiano yao utawajuwa tu!
 
nimekumbuka wimbo 'if i was a boy' (bak sijui nae kafungwa kamba kidoleni wapi huko, angetuwekea hapa), na ile thread yetu na mtm.
this is for all men in here: for a long time mmekuwa mna-abuse wanawake walio kwenye maisha yenu, taking them for granted. jamani, nadhani once mwanamke aki-flip over, there is nt much u can do abt it! mkivumiliwa, sio kwa sababu hatuna alternative. na sie wanawake tunajua ku-play smart nadhani kuliko wanaume (i have seen this!!!). sina ushauri kwa huyo dada, lakini ukimpatia ule uzi wa mtm pengine anaweza kuokota mawili kama sio matatu. huyo cheater mwenzie hana issue!na wala hana mpango nae, anahitaji consolation ndo maana anam-blackmail!
 
si kweli,she can keep both of them.............mbona ndoa za mitala wanaume wanaweza kuwa na wake wawili ? wanawezaje?........huyu mshefa yeye hayuko full time kwa sababu ana mke,mie sioni litakalomshinda huyu dada kuwa nao wote wawili mpaka hapo moyo wake utakapochagua kuwa na mmoja.LOL
we Jestina we, haya!
 
Back
Top Bottom