Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Mimi shida yangu ni mtandao wa ngoma tu, lkn as long as nobody is hurting; it is a better arrangement! Ingekuwa vyema mume akamuibia naye mshefa!

nimeipenda hi kommenti,...dawa ya mshefa ni kuwa shefa zaidi yake
 
jamani...... aangalie wapi anapata furaha....... asijipe stress
 

mimi nikigundua tu mama_igwe ka cheat kwa sababu yoyote ile,...kamwe siwezi msamehe hata aombeje huo msamaha,....ndio sheria ya mfumo dume ambao ninauamini na kuufuata,......

Nb:hapa simanishi unyanyasaji wa kijinsia na maanisha baba/mwanaume kama kichwa cha nyumba,........uuuuuuuuuuuh!...puuuuuuuuuuuuuuf...kama mawe nipigeni
 
Wanawake ndo zenu
Ninapokuata na comment kama hii huwa naishia kucheka tu..................... kwa hiyo ni sawa kwa wanaume kuwa mashetani lakini si kwa wanawake!!! Am learning hard kwa kweli. But nashukuru kwamba wote tunaelewa kuwia ni vitu vinavyotokea kwenye jamii zetu no matter how hard we pretend not to see so kupingana na data si wkeli kuwa tunajiexpose hapa!!
 
Thanks MJ1 ubarikiwe switiiidada .................halafu nimeipenda signature yako.

 


.........IGWE hatuwezi kukupiga mawe, mimi ninakuunga mkono kabisa kwani ninaielewa jamii inizungukayo inalichiukuliaje swala la mwanamke anayecheat. We imagine mwanamke ambaye amefiwa na mumewe hutegemewa kubakia mjane hadi aingie kaburini naye bilakuwa na mahsiano na mtu mwingine sembuse huyu ambaye ana mumewe wa ndoa.!!? Katu haikubaliki.
 
Kwetu wanasema 'mko muntu irungu' meaning mke wa mtu ni msitu mkubwa,si wa kuchezea. Huyu so called 'mshefa' ni mtu mmoja mjinga na mbinafsi sana,kwake anajenga kwa wenzie anabomoa. Hivi huyu **** kweli anaona ni sawa avuruge nyumba ya mwanaume mwenzie wakati ndoa yake iko intact. Sikiliza MJ1 embu nitafutie namba ya simu ya mke wa huyo mshefa halafu uone nitamfanya nini ( wewe niPM tu unipe hiyo namba).Yeye si anajitia anajua kukoroga ndoa za wenzie wacha na sisi tuvikoroge vya kwake kudadadeki tuone atakavyotapatapa,pumbavu zake kazi kumdanganya binti wa watu na kum manipulate. Na huyo dada mwambie aamke hilo shefa fekii linamtumia tu litaishia kum dump.Umentia hasira MJ1 kwa uzi huu,wallah!
 
Thanks MJ1 ubarikiwe switiiidada .................halafu nimeipenda signature yako.

Karibu my ndugu haya mambo bwana we yaache tu............ najaribu kuomba msaada kwa wanaJF namna ya kumsaidia dada huyu lakini naambulia shutma na kwenye thread hapo nimesema kuwa anajutia kwani keshagundua kakosea lakini naona anarushiwa lawama ila cha kuchekesha Mwanaume akiwa ananyanyaswa na mkewe, akinyimwa unyumba na mkewe hapa hapa tunamshauri amtafutie mkewe mshika zamu wa nje!! Huyu dada amepitia manyanyaso mengi yakiwemo kunyimwa unyumba, kubakwa na mumewe!! kudharauliwa na kutothaminiwa mwisho katoka kutafuta faraja nje matokeo yake analaumiwa ...............nachoka kabisa


Enyi waungwana msaidieni basi mawazo ya jinsi atakavyojinasua kwa Mshefa? LOL anataka kurudi kuwa mke mwema jamani!
 


Bishanga mpenzi wangu mwe! Nisamehe baba kwka kukutilisha hacra asubuhi asubuhi. Yaani kusema ukweli umenena vilivyo huyu Mshefa anatake advantage sasa.....halafu Binti akimweleza kistaarabu kuwa naomba tuishie hapa, anakuwa mbogo anadai eti hata kwake kuna waka moto kwa sababu wife wake ameshajua kuwa mumewe anacheat, so kama alivyomsaidia yeye kipindi kile akiwa na matatizo na mumewe naye anapaswa kumfariji kwa sasa ambapo kwake hakukaliki eh !!!

Nitamwuliza kinachomfanya ashindwe kumdump huyu Mshefa kinguvu ni nini? Labda kama tu mumewe dada anamfahamu huyu mshefa kiasi kwamba akimdump mshefa ataamua kuharibu mazima kwa Mr wake au lah. hata sijui
 
mshefa si kazi yake ilikuwa kumpa dada 'faraja' wakati wa matatizo? (consolation). Sasa matatizo yameisha na dada atambue kazi ya mshefa imekwisha.

Sweetest, huyu dada bado ana hisia kwa mumewe (za mapenzi/tendo) au ndo basi tu bora kukuche?

Na hivi kama ameamua kiukweli yeye binafsi kwamba anaachana na huyo mshefa mi nadhani ataweza, vinginevyo nadhani alitubu vya mdomoni tu bila kumaanisha.
 

sure.....ndio mazingira tuliyozaliwa na kukulia,poleni kama niwakwaza
 
<br />
<br />

Nahisi anataka kote kote, mpaka tu atakapoamua kuchagua moja, hisia haziwezi kurudi.

Tena ana bahati alikiri kwa mumewe na mumewe akamuelewa.
Hiyo blackmail technique ya mshefa hata haitasumbua kabisa, ingekua ile ya kusema atamuharibia kwa mume hapo ningeona ugumu. Mwambie amblackmail mshefa back, au na mke wa mshefa anayajua yanayoendelea?
 


hii kauli hapo juu imeniondoa kabisa kwenye reli kama sio kunishtua.........................
Hivi kweli ndo tumefikia hapa jamani?
Faraja siku hizi huwa inapatikana kwa the so called mshefa, na sio mume tena?.............
mungu atusamehe bure, maana nzima ya ndoa imeshachakachuliwa hapa...........lol.......
 

bht aksante mydia yaani hapo kwenye red hapo ndipo panapohusika zaidi kwa sababu hata mie nina mashaka kuwa inawezekana kabisa dada kwa sasa anaishi ki'jamii' zaidi kuliko kimapenzi. Yeye anataka kurudi kwa mumewe kwa sababu (hii ninadhania miimi)
1. Ni mumewe wa ndoa anayefahamika na jamii yote
2. Ingawa anampenda Mshefa anajiona haweziishi naye kwani jamii itamshangaa na pia Mshefa ana mkewe! So anaforce kuachana na mshefa lakini kwa vile anampenda mshefa ndo maana anajikuta anashindwa kumwacha amegeuka Msukule wake sasa.

Laiti angekuwa ni mwanaume angeweza hata amua kuhama na familia yake wahamie mbali na anapoishi huyo Mshefa pengine angeanzia hapo....mwe haya mambo!!
 
Nachokiona MJ1 huyu dada amebarikiwa mume mzuri, nikiangalia comment za wanaume wengi humu ni kama wao ndio huwa wanastahili misamaha na kuvumiliwa kwenye mambo yao na kusahau wote ni binadamu tunakosea........na msaada peke kwa huyu dada ni jinsi ya kufuta zile hisia za mapenzi alizojenga kwa mshefa kama unavosema .

 
sure.....ndio mazingira tuliyozaliwa na kukulia,poleni kama niwakwaza

Binafsi hujanikwaza, I admire your honesty na kuwa a principled man. Anayo heri mwanamke akuelewaye. Ubarikiwe
 
<br />
<br />

bacha ndugu yangu, si mada ndo imesema hivo? Tena mshefa ndo anatumia hiyo sababu kumblackmail mke wa mwanaume mwenzie..... Ndipo tulipofikia na kupitiliza (karibu tutaanza open relatioships)

Sasa kwa hali hiyo basi mshefa ajulishwe role yake kwisha kazi! Hata msiba utakaa matanga siku zote? Utapewa faraja siku zote?

Waanue matanga sasa msiba uliisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…