Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Tunajipendelea kivipi wakati mimi nimezungumzia nafsi yangu?

Mimi kama nilianza na yeye akajua na akanisamehe akanipa second chance, then in the interest of fairness I owe her forgiveness also. But forgiveness comes upon genuine contrition but it's not obligaotory.

Sasa sielewi kwa nini unasema tunajipendelea. Ni kwamba huyo mume aliyecheat anaona yeye alivyocheat ilikuwa sawa ama?

kujipendelea ninakoona hapa ni kuwa mkianza nyie (kwa sababu yoyote ile) angalau mnaweza 'kufikiria' kumsamehe mwanamke aliyetoka nje ya mahusiano (kwa sababu yoyote ile). lakini si aanze mwanamke, hapo hakuna msamaha.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
The same concern we should have kwa mumewe ambaye anadaiwa kubadilika......kama alicheat mwanzoni, aliabuse n.k. nini kitamzuia kurudia tena??

Oh yeah most definitely! It applies both ways. No double standards or triple standards. Fair is fair in my book.

But by the looks of it, that couple seem to be tailor-made for each other. You two-time on me, I two-time on you.
 
aaah biggy mi nachoka kabisa haya mambo. acha niendelee kujiburudisha na ule wimbo wa Jay Dee tu...na nyie jipendeleeni mkichoka mrudi makwenu mkafanye vitubio na maungamo.

Hakuna kuungama au kuacha kwa lazima bila ridhaa yangu...Labda kama nilifanya mbele ya mtutu...!!
 
Hahahaha aksanteni kwa kuwajibia hawa kaka zangu am sure haya ndio yangekuwa majibu yao............sasa wekeni scenerio ya pili; aliyekuja kulalamika si mke bali ni mume...........kina MTM na Fide wamshauri afanyeje

...piga chini kicheche tu huyo...
 
kujipendelea ninakoona hapa ni kuwa mkianza nyie (kwa sababu yoyote ile) angalau mnaweza 'kufikiria' kumsamehe mwanamke aliyetoka nje ya mahusiano (kwa sababu yoyote ile). lakini si aanze mwanamke, hapo hakuna msamaha.

Bahati mbaya huo ndio ukweli ...walau kwa Waafrika (sina hakika na wazungu)!!

A woman was not made to cheat....?????????
 
Hahahaha aksanteni kwa kuwajibia hawa kaka zangu am sure haya ndio yangekuwa majibu yao............sasa wekeni scenerio ya pili; aliyekuja kulalamika si mke bali ni mume...........kina MTM na Fide wamshauri afanyeje

""mwanamke ki..che..che..huyo hafai mtimulie mbali, tafuta nyumba ndogo faster""
 
kujipendelea ninakoona hapa ni kuwa mkianza nyie (kwa sababu yoyote ile) angalau mnaweza 'kufikiria' kumsamehe mwanamke aliyetoka nje ya mahusiano (kwa sababu yoyote ile). lakini si aanze mwanamke, hapo hakuna msamaha.

Kila mtu kivyake na kila mtu ana msimamo wake. Mimi kwa msimamo wangu nikianza kucheat basi mwanamke ana haki zote za kuniacha na kwenda kuanza maisha kivyake na nitaelewa. Na vivyo hivyo kama yeye akianza. Nikijua tu kuwa katoka nje basi we are through, done, finito, kaput.

Sasa nikianza kucheat mimi halafu yeye aamue kunisamehe basi huo utakuwa uamuzi wake na hiyo haina maana na mimi akinifanyia hivyo basi nirudishe favor.
 
Hahahaha aksanteni kwa kuwajibia hawa kaka zangu am sure haya ndio yangekuwa majibu yao............sasa wekeni scenerio ya pili; aliyekuja kulalamika si mke bali ni mume...........kina MTM na Fide wamshauri afanyeje
Afadhali hujaniuliza mimi.........ningekujibu kwa mujibu wa kanuni zetu na kuongezea na udumishaji wa mila na desturi zetu ambazo najua fika unazielewa sana.
 
Mh!ama kweli basi kwa imani yangu ya dini baadhi ya zile amri zingeelekezwa kwa wanawake tu mbona tunafundishwa wote ,embu tuache kupaka rangi uchafu wetu.

Bahati mbaya huo ndio ukweli ...walau kwa Waafrika (sina hakika na wazungu)!!

A woman was not made to cheat....?????????[/QUOTE]
 
Kila mtu kivyake na kila mtu ana msimamo wake. Mimi kwa msimamo wangu nikianza kucheat basi mwanamke ana haki zote za kuniacha na kwenda kuanza maisha kivyake na nitaelewa. Na vivyo hivyo kama yeye akianza. Nikijua tu kuwa katoka nje basi we are through, done, finito, kaput.

Huyo uliyenaye kwa sasa (sorry kama unaye), mmeshaishi muda gani pamoja????

Elimu haina Mwisho,

Babu DC (1947)
 
But how do know that she has learned her lesson?

I guess there is no way to know for sure...kilichobaki ni kuamini tu kwamba unambiwa ukweli mwenzio akiapa kuacha. Kama inawahusu wawili kama hapa kila mmoja aamini mwenzake ameacha kweli kama nae ameacha kweli.Ikiwa mmoja anamdanganya mwenzake basi akae akijua kwamba hata yeye inawezekana akawa anadanganywa....kama huyu dada muanzishiwa thread.Kamdanganya mume kwamba ameacha na si ajabu mume amenotice kweli mke wangu ameanza kurudisha ukaribu hivyo amedanganyika... dada nae anaamini kwamba kwa ukaribu na mapenzi motomoto anayopata kwa mume ndo kujirudi alafu ukute mwenzie nae anamchezea shere tu.

Hgh

Niseme tu siku ukiamua kumchezea mwenzako...na wewe uwe tayari kuchezewa.
 
Mh!ama kweli basi kwa imani yangu ya dini baadhi ya zile amri zingeelekezwa kwa wanawake tu mbona tunafundishwa wote ,embu tuache kupaka rangi uchafu wetu.

Bahati mbaya huo ndio ukweli ...walau kwa Waafrika (sina hakika na wazungu)!!

A woman was not made to cheat....?????????

Chauro,

Nakuomba unisome vizuri mdogo wangu...

Hizi dini zimekuwepo na haya mambo yanaendelea kama vile hazipo...Ila jaribu kusome between lines (Blue)
 
Bahati mbaya huo ndio ukweli ...walau kwa Waafrika (sina hakika na wazungu)!!

A woman was not made to cheat....?????????
Mzee mwenzangu, hebu tafsiri hiyo bold kwa kinyerere, sisi tulioishia mido skuli, hiyo haikuwa katika silabasi zetu......

Pamoja na kuwa kingledha kimenipiga kando, hiyo bold hapo NI NENO LA MUNGU.
 
I guess there is no way to know for sure...kilichobaki ni kuamini tu kwamba unambiwa ukweli mwenzio akiapa kuacha. Kama inawahusu wawili kama hapa kila mmoja aamini mwenzake ameacha kweli kama nae ameacha kweli.Ikiwa mmoja anamdanganya mwenzake basi akae akijua kwamba hata yeye inawezekana akawa anadanganywa....kama huyu dada muanzishiwa thread.Kamdanganya mume kwamba ameacha na si ajabu mume amenotice kweli mke wangu ameanza kurudisha ukaribu hivyo amedanganyika... dada nae anaamini kwamba kwa ukaribu na mapenzi motomoto anayopata kwa mume ndo kujirudi alafu ukute mwenzie nae anamchezea shere tu.

Hgh

Niseme tu siku ukiamua kumchezea mwenzako...na wewe uwe tayari kuchezewa.

Perspicacious! Bravo.
 
Kila mtu kivyake na kila mtu ana msimamo wake. Mimi kwa msimamo wangu nikianza kucheat basi mwanamke ana haki zote za kuniacha na kwenda kuanza maisha kivyake na nitaelewa. Na vivyo hivyo kama yeye akianza. Nikijua tu kuwa katoka nje basi we are through, done, finito, kaput.

Sasa nikianza kucheat mimi halafu yeye aamue kunisamehe basi huo utakuwa uamuzi wake na hiyo haina maana na mimi akinifanyia hivyo basi nirudishe favor.

eeh kila mtu kivyake na msimamo wake. ila nadhani mimi niliiweka tu kama general rule ambayo ina exceptions pia. (unakoangukia wewe na wengine wa aina yako).

na ukweli unabaki tu kwamba mila na malezi kwa sisi waafrika ndo yanatufanya tuwe hivi (kuna mambo mume atafanya utaambiwa vumilia)
 
Chauro popote pale ulipo............

Hebu niambie wewe unabishana na neno hili la Mungu:A woman was not made to cheat..?
 
Oh yeah most definitely! It applies both ways. No double standards or triple standards. Fair is fair in my book.

But by the looks of it, that couple seem to be tailor-made for each other. You two-time on me, I two-time on you.

Well Kelvin you might be right but am not sure cause this has happened once in their marriage life, to me its an incidence and taking the kind of forces that led to the wife's reaction, really I dont know what to say or think anymore...............the light in their marriage seems to be dim and not bright as I expected. Its sad really
 
Mzee mwenzangu, hebu tafsiri hiyo bold kwa kinyerere, sisi tulioishia mido skuli, hiyo haikuwa katika silabasi zetu......

Pamoja na kuwa kingledha kimenipiga kando, hiyo bold hapo NI NENO LA MUNGU.

Ngoja nijaribu bro...

A woman was not made to cheat.......

Mwanamke (hapa naongelea wa Kiafrika), aliumbwa kuwa na mume mmoja tu.....Hakupewa nafasi yoyote (na Mungu wake) kuzungusha zungusha kipira!!???????

Kama sijapatia naomba msamaha!!
 
Back
Top Bottom