Zanta
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,028
- 796
Ndo Ushauri huo aliotoa ODM au hujamuelewa?Babu ndio maana likatumika neno naomba ushauri, kama hujisikii kutoa ushauri kwa kuwa hakuna cha kushauri si ni bora ukakaa pembeni na kuvuta kiko chako?
Kwa nini usituache wenye muda wa kupoteza, tuendelee kuupoteza?