Uchaguzi 2020 Arumeru, Arusha: Watumishi wa Chuo cha Misitu Olmotonyi watakiwa kwenda kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM bila kukosa

Hii kauli ya "bila kukosa" huwa inatumika hata kwenye matangazo ya matamasha ya muziki na haijawahi kuwa na tafsiri ya lazima kwenda,sasa sijajua kwenye hili tangazo hiyo kauli ina uzito kiasi gani kwa maana kama ikitokea mtu hakwenda?
 
Mama Maria Nyerere aliita kuongeza vichwa. Kila kitu ni kuigiza tu. Kiongozi wa kuigiza, Tume ya kuigiza, kuapisha mawakala nako ni kuigiza, uchaguzi nao wa kuigiza. Kutangaza mshindi nako ni kuigiza tu! Tabu kweli kweli.

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu, Mama wa watu hakutaka makuu
 
Hiyo sio ya kukosa.

JPM ndani ya Chuga,

Usisimuliwe nenda mwenyewe ukajionee historia ikiandikwa.
Mpaka barua.. inaonyesha ni lazima. Kwann wasiache watu waende kwa hiari yao?
 
Hii kauli ya "bila kukosa" huwa inatumika hata kwenye matangazo ya matamasha ya muziki na haijawahi kuwa na tafsiri ya lazima kwenda,sasa sijajua kwenye hili tangazo hiyo kauli ina uzito kiasi gani kwa maana kama ikitokea mtu hakwenda?
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huku kuigiza wamejifunzia kutokea kwa nani aliyeigiza kabla?
 
Hakuna wasanii
 
Halafu watakuja masalia ya walinda legacy wanasema jiwe alikuwa anakubalika sasa hiyo lazima inatoka wapi.

Naona na huyu mama yenu anapita kule kule jana kazoa wanafunzi wanaotakiwa kuwepo darasani wameenda kufanya maigizo uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…