Uchaguzi 2020 Arumeru, Arusha: Watumishi wa Chuo cha Misitu Olmotonyi watakiwa kwenda kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM bila kukosa

Uchaguzi 2020 Arumeru, Arusha: Watumishi wa Chuo cha Misitu Olmotonyi watakiwa kwenda kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM bila kukosa

Hii kauli ya "bila kukosa" huwa inatumika hata kwenye matangazo ya matamasha ya muziki na haijawahi kuwa na tafsiri ya lazima kwenda,sasa sijajua kwenye hili tangazo hiyo kauli ina uzito kiasi gani kwa maana kama ikitokea mtu hakwenda?
 
Mama Maria Nyerere aliita kuongeza vichwa. Kila kitu ni kuigiza tu. Kiongozi wa kuigiza, Tume ya kuigiza, kuapisha mawakala nako ni kuigiza, uchaguzi nao wa kuigiza. Kutangaza mshindi nako ni kuigiza tu! Tabu kweli kweli.

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu, Mama wa watu hakutaka makuu
 
Hii kauli ya "bila kukosa" huwa inatumika hata kwenye matangazo ya matamasha ya muziki na haijawahi kuwa na tafsiri ya lazima kwenda,sasa sijajua kwenye hili tangazo hiyo kauli ina uzito kiasi gani kwa maana kama ikitokea mtu hakwenda?
😂😂
 
Halafu leo eti mtu anamfananisha Lissu na Magufuli kweli jamani

Kwa Lissu halazimishwi mtu unakwenda kwa hiari yako mwenyewe

Kwa Lissu hakuna show la Fiesta kusema labda watu wamefuata show ya JEJE live ya DIAMOND au MEDIOCRE ya KIBA wala hakuna show ya KONDE GANG wala NANDY ... !!!

Ni mapenzi ya kweli kutoka moyoni ... !!!

#NI YEYE 2020
Hakuna wasanii
 
Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.

Taarifa ya Mkuu wa Chuo imeeleza kuwa leo tarehe 22 Oktoba usafiri utakuwepo kuanzia 1:00 asubuhi kuwafikisha watumishi katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, maeneo ya Usa River.

View attachment 1607780
Halafu watakuja masalia ya walinda legacy wanasema jiwe alikuwa anakubalika sasa hiyo lazima inatoka wapi.

Naona na huyu mama yenu anapita kule kule jana kazoa wanafunzi wanaotakiwa kuwepo darasani wameenda kufanya maigizo uwanjani.
 
Back
Top Bottom