Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Ati nini?☹️☹️Mnataka msaada wa choo?
Yaani msaada wa Tsh laki 9 hadi mnarusha ITV hizi ndio zile NGO uchwara.
Hii NGO ndio ile ilijenga Shule kwa ajili ya yatima halafu shule ikageuzwa kuwa ya watoto wa vigogo?
Ingefaa zaidi mali ya sehemu husika ianze kufaidisha watu wake kuliko kwenda kuchanga interchange ambazo wananchi wa mali ilipotolewa haiwafaidishi☹️☹️☹️Wa ar vipi tena!
Na matanzanite yote hayo?
Dah sio poa mambo mengine muwe munafichaga nyie ebo
Si mungeenda kwa yule laizer tu kimya kimya
Halafu unanunua ndege kwa cash..then unapata hasara ya bilioni 60 ...Zaidi ya wanafunzi elfu moja wa shule ya msingi Olimringaringa iliyopo kijiji cha Kimnyaki wilayani Arumeru wako hatarini kupata magonjwa ya milipuko kutokana na kulazimika kujisaidia porini kwa kukosa huduma ya vyoo.
Akizungumzia changamoto hiyo ya uhaba wa matundu ya vyoo mwalimu mkuu wa shule hiyo Bi.Vick Laizer amesema tatizo hilo limedumu kwa muda mrefu.
Ili kutatua changamoto hiyo wadau wa elimu kutoka shirika la SOS Children’s Villages limetoa msaada wa mifuko hamsini ya saruji pamoja na mchanga tani kumi na nne kwa ajili ya ujenzi wa choo kipya.
Wakati wa makabidhiano hayo shirika la SOS Children’s village limesema litaendelea kumuenzi aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt. John Magufuli kwa kuhakikisha kuwa wanaendelea kuwasaidia watoto wanaotoka kwenye mazingira magumu ili dhamira yake ya kuhakikisha elimu kwa wote inafikiwa.
Chanzo: ITV
Nasari anayo majibuHalafu unanunua ndege kwa cash..then unapata hasara ya bilioni 60 ...
Kuna mtu amekula bilion 60 halafu wanafunzi hawana vyooo
Upinzani wametuchelewesha sana .Ninasema uongo ndugu zangu?
Mitano tena,ikiisha mitano tunaongeza tena mitano atake asitake.Upinzani wametuchelewesha sana .Ninasema uongo ndugu zangu?
Maendeleo hayana chama.
Sio ndege tu, kujenga ikulu mpya kwa bilioni 500 for nothing hali iliyopo ni toshelevu ndo mseme angetoka,Mungu ana makusudi yake kaona mbali kutuepusha mateso ya milele.Halafu unanunua ndege kwa cash..then unapata hasara ya bilioni 60 ...
Huyo mwendawazimu! Hivi yupo kwanza mana covid siku hizi inafanya kitu inaitwa silent killingNasari anayo majibu