Arumeru: Wandishi wa habari wapigwa mawe na mizimu na kutimka mbio. Mawe hayajulikani yanatoka wapi. Yanamwagika kama mvua

Wameru ni wataalam wa kurusha mawe balaa, unaeza ukawa na bunduki ya AK47 na wao Wana mawe na ukakwama
bunduki tupu au bunduki na risasi? jiwe ili likupate vizuri linahitaji uwe karibu... acha kufananisha manati ya mzungu na wameru wako, wataondoka kama wenzao wa songea na maji yao.
 
Huu ndio upumbavu pekee mtanzania anaweza kufanya kuliko kuleta maendeleo
Mkuu mawe kutokea kusikojulikana hayo sio maendeleo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hao unawaita wapumbavu wanaweza kurusha mawe kutoka kusikojulikana na hii wanaweza kuitumia kama siraha ya kujilinda tena kwa gharama nafuu, wewe unaweza kufanya nini?
 
Nimeona hii habari daily news,nimecheka sana,unapigwa jiwe ila halijulikani linatoka wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…