Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

NABII MKUU BABA MKUU, MFALME MKUU, YESU NDIYE MKUU WA KILA KITU DUNIANI.

mathayo 28. Nimepewa Mamlaka Yoote MBINGUNI na Duniani.
 
Je Dini anayoitangaza huyo sijui nabii yenyewe inaruhusu binadamu kuuchora mwili wake?
 
Nimeangalia mwendelezo YouTube, alipewa m1 palepale, na ahadi ya kukabidhiwa m5 wiki inayofuata ili kuendeleza biashara zake, na pia atakuwa anapewa akihitaji
Zama uchawa.
Kwa mtindo huu watenda kazi watapungua na chawa wataongezeka.
Kuna siku niliona wasanii wamejazana kule kwa lengo la kuchuma😂
Demi wahi
 
Sitoruhusu mke wangu aende kwenye haya makanisa hata kidogo
Mara nyingi matatizo ndiyo huwapeleka huko, wanaoenda kwa starehe niwachache sana, ile yote nikuhangaika kuona Mungu atawasaidia, usiwahukumu sana.
 
halafu tukisema ukiristo nidini yamchongo mnalialia nakunyakunya hapa. ona sasa kiongozi wakanisa mambo anayofanya hapo. huyo demu kafukuzwa kwaajili yake yeye anafurahia nahela amempa. kwatafsiri yakawaida tunasema nabii asha pata michepuko tena kaukagua livi nakushangiria juu. amakweli wakiristo nimambumbu..
 
manabii wa mchongo, yaani ukachore lipicha la mwanamme mwenzako mwilini mwako ambaye sio mumeo? NOT to that extent kwa sauti ya JIwe. MImi ningekua mtawala ningewachapa viboko wooote hawa wasanii na pia ningewawekea vigezo vya elimu kama kagame. Kwanza inasemekana anakula huo mzigo na tangu siku nyingi mume alisusa
 
mkuu hiinidini yawajinga Wala usipate tabu yakuchambua sana.kama nabii anamsifia mke wamtu nawaumini wanashangilia kunanini tena hapo Kama sio wajinga.
 
Usihukumu Wakristo wote umbwa wewe! Sema haya makanisa ya kipumbavu! Sasa hivi hata wake zenu wa Kiislam wanamwagika kwa Mwamposa, siyo kwa kufukuliwa huko!
 
Usihukumu Wakristo wote umbwa wewe! Sema haya makanisa ya kipumbavu! Sasa hivi hata wake zenu wa Kiislam wanamwagika kwa Mwamposa, siyo kwa kufukuliwa huko!
nahukumu wote nyau wewe kwani hayo mambo siwanafanyia kanisani napicha wansturushia mitandaoni? ushawahi kuona msikitini wanafanya huo ukum?.nyie niwajingatu usijifanye kupinga pinga hapa.
 
nahukumu wote nyau wewe kwani hayo mambo siwanafanyia kanisani napicha wansturushia mitandaoni? ushawahi kuona msikitini wanafanya huo ukum?.nyie niwajingatu usijifanye kupinga pinga hapa.
Umeona hapo ni kanisani au ni kwemye ukumbi?
 
Hapo hakuna Mtumishi wa Mungu. Kule kujiita NABII MKUU tu tayari huyu anajitukuza mwenyewe na hatangazi utukufu wa Mungu. Hata kwenye vitabu vitakatifu hatujawahi kusikia cheo hicho. Wapo manabii tu lakini sio MANABII WAKUU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…