dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ndio hyu mwanamke mjinga nn au Ni story nyingine hyoMke & mume walikuwa ni walimu wa shule moja hapa mjini. Baada ya kustaafu mume mafao yake alijenga nyumba na kununua mifugo anayo hadi sasa.
Mwanamke yeye alikuwa ni mtu wa maombi sana na akajikuta ameingia NGURUMO, alipopata mafao yake akaenda kupanda mbegu yote kwa huyu nabii tapeli.
Matokeo yake mume alimfukuza kwenye nyumba yake na hadi sasa huyu mama amechanganyikiwa kabisa.