Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

Ni sawa. Maana ni kawaida watu kuchora tatoo watu amaa wanyama ama hata masanamu kwenye miili yao ama nyumba zao.

Bora huyo kachora tatoo, kuna wengine unakuta amechonga sanamu la mti, miti hii tunayoiona na akaiunganisha kwa misumari halafu akaanza kuiabudu na kutegemea hilo lisanamu limuombee ama limuepushe na balaa za Dunia, sanamu la miti.

Dini zinafanya watu wamakua wapumbavu sana.
Jamaa amewatafuna waumini wake sana, wengine wamekuwa wakitishiwa wakitoa Siri za majoka makubwa
 
Akiwatafuna kuna ubaya gani?

Mapadri wanatafuna watoto wadogo bora yeye anatafuna watu wazima.

Mtu mzima hajabakwa ameamua mwenyewe kuvua chupi atafunwe kuna ubaya gani?

Kumbuka yule ni kiongozi wa dini. Hatakiwi kuwa mzinzi.
 
Ni sawa. Maana ni kawaida watu kuchora tatoo watu amaa wanyama ama hata masanamu kwenye miili yao ama nyumba zao.

Bora huyo kachora tatoo, kuna wengine unakuta amechonga sanamu la mti, miti hii tunayoiona na akaiunganisha kwa misumari halafu akaanza kuiabudu na kutegemea hilo lisanamu limuombee ama limuepushe na balaa za Dunia, sanamu la miti.

Dini zinafanya watu wamakua wapumbavu sana.
Tattoo ina ujumbe wake. Kuchora picha ya nabii maana yake nini?
 
Wabongo Wana mbinu nyingi Sana za kupiga pesa huyu mzee ukimsifia tu anakupa pesa. Naona mashimo aliandaa maandamo ya kumsifia baada ya kupewa gari.
 
Ni sawa. Maana ni kawaida watu kuchora tatoo watu amaa wanyama ama hata masanamu kwenye miili yao ama nyumba zao.

Bora huyo kachora tatoo, kuna wengine unakuta amechonga sanamu la mti, miti hii tunayoiona na akaiunganisha kwa misumari halafu akaanza kuiabudu na kutegemea hilo lisanamu limuombee ama limuepushe na balaa za Dunia, sanamu la miti.

Dini zinafanya watu wamakua wapumbavu sana.
Kwann nini tofauti ya tattoo ya mnyama na ya mtu
 
Mke & mume walikuwa ni walimu wa shule moja hapa mjini. Baada ya kustaafu mume mafao yake alijenga nyumba na kununua mifugo anayo hadi sasa.

Mwanamke yeye alikuwa ni mtu wa maombi sana na akajikuta ameingia NGURUMO, alipopata mafao yake akaenda kupanda mbegu yote kwa huyu nabii tapeli.
Matokeo yake mume alimfukuza kwenye nyumba yake na hadi sasa huyu mama amechanganyikiwa kabisa.
 
Hawa ndio wanaojua kula na walamba asali na sio zumarid kosa lake hakujifungamanisha na walamba asali, angekuwa anaisapoti ccm asingekuwa ndani.
 
Back
Top Bottom