Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

Ni sawa. Maana ni kawaida watu kuchora tatoo watu amaa wanyama ama hata masanamu kwenye miili yao ama nyumba zao.

Bora huyo kachora tatoo, kuna wengine unakuta amechonga sanamu la mti, miti hii tunayoiona na akaiunganisha kwa misumari halafu akaanza kuiabudu na kutegemea hilo lisanamu limuombee ama limuepushe na balaa za Dunia, sanamu la miti.

Dini zinafanya watu wamakua wapumbavu sana.
Hakuna Bora, kwann hakuchora mumewe au watoto wake.Ni bolo young limemkosha mpaka akashikwa na wazimi huo.
 
Mke & mume walikuwa ni walimu wa shule moja hapa mjini. Baada ya kustaafu mume mafao yake alijenga nyumba na kununua mifugo anayo hadi sasa.

Mwanamke yeye alikuwa ni mtu wa maombi sana na akajikuta ameingia NGURUMO, alipopata mafao yake akaenda kupanda mbegu yote kwa huyu nabii tapeli.
Matokeo yake mume alimfukuza kwenye nyumba yake na hadi sasa huyu mama amechanganyikiwa kabisa.
Kuna mwingine alichukua fedha ya mkopo akaenda kumbariki mtumishi mahali fulani na ndoa ikaota mbawa
 
Ni sawa. Maana ni kawaida watu kuchora tatoo watu amaa wanyama ama hata masanamu kwenye miili yao ama nyumba zao.

Bora huyo kachora tatoo, kuna wengine unakuta amechonga sanamu la mti, miti hii tunayoiona na akaiunganisha kwa misumari halafu akaanza kuiabudu na kutegemea hilo lisanamu limuombee ama limuepushe na balaa za Dunia, sanamu la miti.

Dini zinafanya watu wamakua wapumbavu sana.

Sio kweli, msingi wa kukataza tattoo upo kwenye mambo ya walawi 19:28
 
Ni sawa. Maana ni kawaida watu kuchora tatoo watu amaa wanyama ama hata masanamu kwenye miili yao ama nyumba zao.

Bora huyo kachora tatoo, kuna wengine unakuta amechonga sanamu la mti, miti hii tunayoiona na akaiunganisha kwa misumari halafu akaanza kuiabudu na kutegemea hilo lisanamu limuombee ama limuepushe na balaa za Dunia, sanamu la miti.

Dini zinafanya watu wamakua wapumbavu sana.
Hakuna kilicho bora, ukristu gani wa kuchokae mwili wako?
 
Ila Zumaridi wamemkomalia Sana, nadhani kuna watu aliwaudhi Sana kwa kujiita mungu.
mbona wengi tu ujiita mungu,yule ni jeuri kakutana na majeuri wenzake,atembeze pesa amalize mchezo akijifanya nunda atasota Sana jela,mbongo kukuweka ndani miaka hana hasara sheria zinamruhusu sisi bado tupo kwenye primitives stage thus kuwekwa ndani miaka usipojiongeza kesi iende haraka haraka Ili upate hukumu mapema ulipe faini au wafute kesi utasota Sana mahabusu.Bongo kesi zote ni biashara za watu thus uwakuti Wahindi au matajiri jela ujiongeza mapema.
We uoni yule aliyewatoa watu Kafara moshi akizidi kupeta angekuwa hana connection au kujiongeza angekuwa ndani hadi kesho. Zumarid anafanya huduma bila kujiongeza wapi pa kushika.
 
Zumaridi aliingia kichwa kichwa kupambana na polisi. Pia kutokuwa na connection kwenye chama na serikali.
 
Back
Top Bottom