The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Vipi kuhusu kuchonga kinyago cha bikira maria halafu ukiabudu, kinyago ulicho chonga mwenyewe?Sio kweli, msingi wa kukataza tattoo upo kwenye mambo ya walawi 19:28
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu kuchonga kinyago cha bikira maria halafu ukiabudu, kinyago ulicho chonga mwenyewe?Sio kweli, msingi wa kukataza tattoo upo kwenye mambo ya walawi 19:28
Mambo ya walawi 19:Biblia inasemaje kuhusu uchoraji wa tattoo?
Msaada please 🥺
🙄🙄🙄🙄🙄 mke wangu mtarajiwa ukijichora tattoo ya mwanaumw wengine nakuvunja miguu alafu miguu yako naiweka kabatini kwanguMwanamke Mmoja jijini Arusha amechora picha yenye jina la mtumishi wa Huduma ya Ngurumo ya Upako anayefahamika kwa jina la Nabii Mkuu Geor Davie.
Mwanamke huyo alipoulizwa kwa nini amechora tatoo yenye jina la nabii huyo, alijibu anampenda licha ya kuwa anapitia mwengi.
"...Ni jambo la baraka sana mtu mpaka anaamua kuandika jina la nabii mkuu". Baadae nabii huyo alimuomba mwanamke huyo aoneshe picha ya tatoo iliyopo begani mwake kanisani hapo.
Kanisa la ngurumo ya Upako huhudhuriwa na waumini zaidi ya 5000 kila jumapili.
Siku za Karibuni Nabii huyo
amekuwa gumzo mitandaoni kwa kutoa zawadi za Pesa na magari kwa baadhi wasanii wa Muziki..Gudluck Gozbert (Mercedes Benz), Mkali wenu (BMW X5).
Una maoni gani?
View attachment 2427554
Thanks for thisMambo ya walawi 19:
Leviticus 19:
28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana.
28 You shall not make any cuttings in your flesh for the dead, nor tattoo any marks on you: I am the Lord.
Oa weweeweka picha vizuri, haifunguki
Usi Sahau na mashekh,wanakula vitoto vya madrasaAkiwatafuna kuna ubaya gani?
Mapadri wanatafuna watoto wadogo bora yeye anatafuna watu wazima.
Mtu mzima hajabakwa ameamua mwenyewe kuvua chupi atafunwe kuna ubaya gani?
Hasa wanawake wa KiislamuWanawake ni wahanga wakubwa wa haya makanisa .
Je huyu nabii Mkuu Geo Davie nini chanzo cha hiyo Fedha anayogawa kama njugu? Kumbuka kanisa lake halina wafuasi wengi na liko based Arusha tu, pili Wachungaji wa makanisa mengine wao ndiyo wanakusanya sadaka kwa waumini ila Nabii Mkuu yeye ndiye huwapa waumini
Easy target. Lakini haya yote yameandikwa mkuu:Wanawake ni wahanga wakubwa wa haya makanisa .
Hizo stori za majoka tumezisikia.Jamaa amewatafuna waumini wake sana, wengine wamekuwa wakitishiwa wakitoa Siri za majoka makubwa
Astakafullahi....!Akiwatafuna kuna ubaya gani?
Mapadri wanatafuna watoto wadogo bora yeye anatafuna watu wazima.
Mtu mzima hajabakwa ameamua mwenyewe kuvua chupi atafunwe kuna ubaya gani?
Nani kakumabia hana fedha? Anapiga fedha nyingi sana kutoka kwa waumini hawa wajinga. Haya yote anayofanya ni kama matangazo ya biashara na yanamwongezea wajinga wengi zaidi wa kutoa fedha.Je huyu nabii Mkuu Geo Davie nini chanzo cha hiyo Fedha anayogawa kama njugu? Kumbuka kanisa lake halina wafuasi wengi na liko based Arusha tu, pili Wachungaji wa makanisa mengine wao ndiyo wanakusanya sadaka kwa waumini ila Nabii Mkuu yeye ndiye huwapa waumini
[emoji23]Na huwa anawatafuna ,unakumbuka kisa chake alipomtafuna katibu wa kanisa lake kwenye gari wakafumwa na mume wa katibu ?