Pamoja na kwamba si ingilii mada
Hicho kisima kilichochimbwa kwa mikono hakiwezi kuwa na mita 60, kwani huo urefu huchimbwa kwa mashine ambapo ni kashimo kadogo sana (Inch 4 hadi Inch 6 hivi). Labda alimaanisha futi 60 (mita 18) ambapo bado naona ni nyingi kwa kisima kilicho chimbwa kwa mikono.