Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Safiii sana, huwezi ukamtukana mama ukabaki salama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm not in the mood..
Asante Kwa ku reply post yangu.
Kumbatia culture yako, wacha wengine nao wajivunie na ya kwao.. Ndio raha hiyo ya uhuru wenyewe.
Mbaya tu ni kutaka kuishi Kwa kukumbatia culture za wengine kutaka kuzileta kwenye maisha yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio,Mojawapo ya culture yako ilikuwa ni kukeketwa.
Kufa hakuhusiani na kumtukana mzazi.ata wewe utakufa na haijulikani ni kifo gani na sio lazima umtukane mzazi.Tatizo hapo sio kufa kwasababu kifo nikwakila kiumbe hai.Tatizo ni hiyo mila jinsi inavyotumika vibaya.Imeebdikwa heshimu baba na mama yako update miaka mingi ya kuishi, Sasa yeye kamtukana mama yake tena matusi ya nguoni unategemea atoboe.
😂😂😂ulijua chips yai anapewa! Uchungu wa mtoto unao wewe mzazi uliowapa walikuwa sahihi kuua maana wewe mwenyewe ulimchoka mpaka ukamgawaLakini adhabu ilikuwa kubwa sana na kweli alistaili kuchapwa ila wamezidisha hadi nimempoteza mwanangu," amesema.
Mbaya mnoKufa hakuhusiani na kumtukana mzazi.ata wewe utakufa na haijulikani ni kifo gani na sio lazima umtukane mzazi.Tatizo hapo sio kufa kwasababu kifo nikwakila kiumbe hai.Tatizo ni hiyo mila jinsi inavyotumika vibaya.
Kifo chake kinahusiana na kumtukana mzazi, kipi huelewi hapo..Kufa hakuhusiani na kumtukana mzazi.ata wewe utakufa na haijulikani ni kifo gani na sio lazima umtukane mzazi.Tatizo hapo sio kufa kwasababu kifo nikwakila kiumbe hai.Tatizo ni hiyo mila jinsi inavyotumika vibaya.
Hatuwezi kataa mila zetu,tumepewa utashi ndio mana tuko tofauti na wanyama..I'm not in the mood..
Asante Kwa ku reply post yangu.
Kumbatia culture yako, wacha wengine nao wajivunie na ya kwao.. Ndio raha hiyo ya uhuru wenyewe.
Mbaya tu ni kutaka kuishi Kwa kukumbatia culture za wengine kutaka kuzileta kwenye maisha yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo utukane mzazi? Utafunzwa na ulimwengu.Hatuwezi kataa mila zetu,tumepewa utashi ndio mana tuko tofauti na wanyama..
Yatupasa kuchukua mila zinazofaa na zisizofaa zenye madhara ni kuachana nazo.
Je uko radhi kuchapwa viboko 70?
Niliukana usukuma kwa huu upuuzi?
Niliahidi nikichapwa nitawinda mmoja mmoja pasipo kujali.
Inakera mno.
Maisha yangu jukumu langu.
Mshenzi huyo acha afeAisee viboko 280🥺
Kwanini mkuu?Mshenzi huyo acha afe