Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Unaanzaje kumtukana mzazi matusi ya nguoni. Mzazi ni Mungu wa pili na anautukufu na nguvu juu ya roho yako. Huyo Mjinga amejichimbia kaburi mwenyewe na kifo kilikuwa ndiyo fate yakeKwanini mkuu?