Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Elfu 15 tu?Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo.
Inaelezwa kuwa mbali na Israel kufanyiwa vitendo hivyo, alilawitiwa na kuingiziwa vijiti sehemu ya haja kubwa kwa mujibu wa maelezo yake kabla ya kufariki dunia.
Kwa taarifa zaidi ingia Youtube itafute GAD TV
View: https://youtu.be/e9lQW06iGgY?si=y43yjUT0Mdfp3Wls
NihatariElfu 15 tu?
Mh Paul Makonda aingilie kati....hali ya usalama mkoani humo inazidi kuwa tete siki hadi siku
HakikaKiama kinanukia 🤔🤔🤔
Tulia acha wengeDuh!
Israel amefikiwa na yeye
Watu niMwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo.
Inaelezwa kuwa mbali na Israel kufanyiwa vitendo hivyo, alilawitiwa na kuingiziwa vijiti sehemu ya haja kubwa kwa mujibu wa maelezo yake kabla ya kufariki dunia.
Kwa taarifa zaidi ingia Youtube itafute GAD TV
View: https://youtu.be/e9lQW06iGgY?si=y43yjUT0Mdfp3Wls
Watu ni wakatili mnooMwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo.
Inaelezwa kuwa mbali na Israel kufanyiwa vitendo hivyo, alilawitiwa na kuingiziwa vijiti sehemu ya haja kubwa kwa mujibu wa maelezo yake kabla ya kufariki dunia.
Kwa taarifa zaidi ingia Youtube itafute GAD TV
View: https://youtu.be/e9lQW06iGgY?si=y43yjUT0Mdfp3Wls
Bila shaka hii stori haijakamilika.15000 ukamnajisi mwenzio serious?
Heri umpige umuue! Kuliko kuongeza na fedheha ya namna hio
Marehemu alinajisiwa akaingizwa na vijitu kweli?
Aisee hata hivyo basi upigwe tu ufe ila sio kukulawiti uingizwe na vijiti heeBila shaka hii stori haijakamilika.
Siku hizi Wasiojulikana wanaweza kukuua na kukutungia stori nyingine kabisa na ikasambaa mitandaoni ikaaminika.
Hii ni meru.. sio uchagani... wachaga wanatokea kilimanjaroWachaga tena!