Arusha: Afariki kwa kupondwa korodani na uume

Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo.

Inaelezwa kuwa mbali na Israel kufanyiwa vitendo hivyo, alilawitiwa na kuingiziwa vijiti sehemu ya haja kubwa kwa mujibu wa maelezo yake kabla ya kufariki dunia.

Kwa taarifa zaidi ingia Youtube itafute GAD TV

View: https://youtu.be/e9lQW06iGgY?si=y43yjUT0Mdfp3Wls

Elfu 15.

Dah RIP
 
hata muwe 10 hadi mnivue ubingwa lazima niwe nme ondoka na macho au uhai wa watu kadhaa kati yenu
 
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo.

Inaelezwa kuwa mbali na Israel kufanyiwa vitendo hivyo, alilawitiwa na kuingiziwa vijiti sehemu ya haja kubwa kwa mujibu wa maelezo yake kabla ya kufariki dunia.

Kwa taarifa zaidi ingia Youtube itafute GAD TV

View: https://youtu.be/e9lQW06iGgY?si=y43yjUT0Mdfp3Wls

Matukio ya ukanda huo yanatisha Sana.
 
Back
Top Bottom