Arusha: Afariki kwa kupondwa korodani na uume

Vipi hapo machadema, hakuna maandamano kweli?
Vipi hapo machadema, hakuna haja ya maandamano? Maana korodani hamna tena!!
 
Hii habari nna uhakika haijakamilika kuna vitu kabisa havipo sawa hebu tuwazie miaka 36? Si ni mwanaume kamili anaweza kujipambania huyo ina maana kakamatwa na jamaa kavuliwa nguo ,kalawitiwa anaangalia tu anamaliza hapo wanachukua nyeti wanazigonga na mawe yupo tu ? Daah
 
Inaelezwa kuwa mbali na Israel kufanyiwa vitendo hivyo, alilawitiwa na kuingiziwa vijiti sehemu ya haja kubwa kwa mujibu wa maelezo yake kabla ya kufariki dunia.🥺🥺🥺🥺😭
 
Nacho jua kaskazini mwa Tanzania ndiko waliko watu wenye roho mbaya

USSR
 
Sakasaka Mao ni kipi kwenye taarifa hii kimekufurahisha kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…