Elfu 15.Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo.
Inaelezwa kuwa mbali na Israel kufanyiwa vitendo hivyo, alilawitiwa na kuingiziwa vijiti sehemu ya haja kubwa kwa mujibu wa maelezo yake kabla ya kufariki dunia.
Kwa taarifa zaidi ingia Youtube itafute GAD TV
View: https://youtu.be/e9lQW06iGgY?si=y43yjUT0Mdfp3Wls
Nimeona ume click emoj ya kufurahiaHapana, sijafurahishwa na chochote.
Nadhani umekosea kunukuu.
Comment uliyonukuu si yangu.
Ngoja nirudie kusoma, ntakwambia.Nimeona ume click emoj ya kufurahia
Ndio mkuu wa Mkoa tumpe hadhi yakeNi wewe au ID yako inatumika na mwingine? Unamwita huyu mhuni Makonda ''mh''? Unamwambia aingilie kati wakati yeye ndiye mwanzilishi wa adhabu ya kulawiti kipindi cha Magufuli?
Kiama kinanukia 🤔🤔🤔
Duuu jamii foram kwakwel burdaaaan haswaa hahaaamaaneeneeer cha arusha noma sana yaani wameamua kum ole sabaya kisa buku 15 za kuku loh
Watu tunatofautiana sana sistaWhat is this jmn!nimekasirika mno umeshamuumiza mhusika bado unaenda na kumlawiti hivi watu wanawazaga nini
Matukio ya ukanda huo yanatisha Sana.Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo.
Inaelezwa kuwa mbali na Israel kufanyiwa vitendo hivyo, alilawitiwa na kuingiziwa vijiti sehemu ya haja kubwa kwa mujibu wa maelezo yake kabla ya kufariki dunia.
Kwa taarifa zaidi ingia Youtube itafute GAD TV
View: https://youtu.be/e9lQW06iGgY?si=y43yjUT0Mdfp3Wls
Wameru ni wachaga hala lugha wanasikilizana na wamachameSio wachaga. Wameru hao waoza meno washamba.