A Anonymous Guest Jan 30, 2026 #1 Hili suala linaumiza sana; nje ya kuwa ni sehemu ya majukumu yake. Wana vikundi wanaopata mkopo anawadai hela katika kila milioni moja anataka 50,000. Hii si sawa kabisa. Hawa wana vikundi wanaokopa ni wajasiriamali wadogo na hiyo hela wanarudisha.
Hili suala linaumiza sana; nje ya kuwa ni sehemu ya majukumu yake. Wana vikundi wanaopata mkopo anawadai hela katika kila milioni moja anataka 50,000. Hii si sawa kabisa. Hawa wana vikundi wanaokopa ni wajasiriamali wadogo na hiyo hela wanarudisha.
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,225 Reaction score 83,181 Jan 30, 2026 #2 Poleni
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 11,860 Reaction score 12,071 Jan 30, 2026 #3 Inasikitisha kwa kweli...