Tetesi: Arusha: Aliyehama Kutoka CHADEMA na Kwenda CCM Afukuzwa kwenye Nyumba na Kanisani Waumini Wamkimbia

Mimi binafsi nimempiga marufuku huyo Mchungaji akome kuni beep tokea jumamosi saa tisa jioni! Nalaabuk!
 
Naona siasa imeingizwa kwenye dini kaaazi kweli kweli
 
sasa hapo chama tawala inabidi wawe makini
na wanaosema "tumerejea"
kumbe wengine wanatafuta kiki ya kulipa madeni yao
na kodi za nyumba?
 
mi zinaniacha hoi hizo 'likes' tu zinavyomiminikia kwa wanaokejeli na kuzusha huku zikikimbia kwa wanaotoa hoja. JamiiForums inakaribia kuwa zilipendwa kwa wenye IQ kubwa.
 
Hao waumini vipii !? ....kwani Yesu hajahama Chadema ?
 
Yaani mtu wa hovyo hivi aliwezaje kugombea cdm na kushinda udiwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…