Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa wametapeliwa , atalipa na nini sasa , jamani mbona hamuelewi tu ?Sasa hizo pesa alizohongwa si alipe hayo madeni?
Astaghafillulah !!!Mav¡ hayana mwiba but ukiyakanyaga razima uchechemeee.
Ccm hamwezi kunielewa
Dah nimeshindwa kujizuia kucheka[emoji13]Mav¡ hayana mwiba but ukiyakanyaga razima uchechemeee.
Ccm hamwezi kunielewa
Hao waumini vipii !? ....kwani Yesu hajahama Chadema ?Na Mwanahabari Huru
Habari zilizotufikia Kutoka Jijini Arusha zinatanabaisha, Aliyekuwa Mdiwani wa Kata ya Kimandolu Jijini Humo Arusha zinaeleza siku Moja baada ya Mchungaji huyo mwenye kanisa lake la Kiroho ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa amepanga kwani anadeni linalokisiwa la shilingi milioni Tatu nanusu.
Vile vile kwenye kanisa lake lake juzi kwenye ibada ya Jumapili alipokwenda kusalisha waumini wa hilo kanisa wamemuhama na alijikuta na Wanakwaya tu ndio wapo kanisani, Kibaya zaidi kundi la wanaume na wanawake walimfuata na kumtishia kumpeleka polisi kwa kile wanachodai ni pesa nyingi alizochukuwa kwao kwa mkopo.
Juhudi za Kumtafuta diwani huyo kutwa leo zimezaa matunda kwani alikuwa hapatikani kwenye simu tokea alivyojiunga na Chama cha mapinduzi, Mwanahabari huru alivyomtafuta amempata na baada ya kumumuliza maswali hayo hapo juu amesema siwezi kujibu lakini nikweli nadaiwa na kukata simu
watu hawakajeli wanashanga Futuhi za ccmmi zinaniacha hoi hizo 'likes' tu zinavyomiminikia kwa wanaokejeli na kuzusha huku zikikimbia kwa wanaotoa hoja. JamiiForums inakaribia kuwa zilipendwa kwa wenye IQ kubwa.
ni hatari sana kucheza futuhi ambayo aina stealingHao waumini vipii !? ....kwani Yesu hajahama Chadema ?
ndio hapo ujue ccm wamechua Oil chafuYaani mtu wa hovyo hivi aliwezaje kugombea cdm na kushinda udiwani?