Arusha: Aliyejeruhi mke anyimwa dhamana

Arusha: Aliyejeruhi mke anyimwa dhamana

Vyombo vya habari na waandishi wa habari huwa wanataka wauze hadithi.

Jicho likitobolewa, leo ungemkuta aliyetobolewa bado yupo ccbrt
 
Mtu kama huyu adhabu yake ni kung'olewa jicho na jino akiwa na uelewa timamu harafu atupwe kijijini kwao himo kiruuuuuuu
 
Napenda kutoa pongezi zangu Kwa Yanga a.k.a ndala Kwa kuendelea kuzalisha vichaa fresh nchini.Hongereni sana.
 
Kuna Daktari alitilia Shaka usahihi wa tukio hili Kuwa 100% Sasa na Mimi naungana naye. Daktari alihoji Mtu aliyetobolewa jicho na kung'olewa jino bila ganzi anawezaje...
Kwenye shitaka hawajasema katobolewa jicho, hilo limepita

Lakini, kama jamaa alipiga simu kwawakwe basi ni ushahidi Tosha alimjeruhi
 
Back
Top Bottom